Mapinduzi ya Zanzibar yako hatarini.. Wazanzibari wamelala...

Mapinduzi ya Zanzibar yako hatarini.. Wazanzibari wamelala...

Mkuu Barux2, nadhani wewe ni miongoni mwa watu wanaotakiwa kuwa na shurani kwa muungano, mimi pia ni product ya Tambaza na Ilboru, sipati picha wewe ulikuwa na mwanafunzi wa aina gani?!, ila ninachikijua kuhusu wewe kwa sasa, hayo mafakio yote uliyonayo sasa, yako contributed na Tambaza, Ilboru na JKT!, kwa hili pekee, mtu mwenye shukrani, alipaswa kushukuru na sio kukashifu!.

Kuna mengi yaliyofanywa baada ya mapinduzi, hayatamkiki, hayasemeki, hayazungumziki na hayaandikiki!, subirini muungano uvunjike, kuna wengine watatafuta pa kutokea na njia wasiione!.

Ama kweli, mkataa pema, pabaya panamuita!.

Let Zanzibar Go!

Pasco.
Kweli kakbisa, mimi leo nitaanzisha sokomoko la kutaka Wazanzibari walioko Tanganyika waorodheshwe.
Tumewachoka.
 
Mambo yanavyoendelea huko visiwani na hatma ya muungano ni swala linaloendelea kuleta wasi wasi kwa Watanzania walio wengi.

Suala la hivi karibuni la kuchoma moto makanisa zidi ya manne limetia doa kubwa katika "udugu" uliokuwepo kati ya Bara na Visiwani.
Licha ya matamko ya kulaani vitendo vya kupinga muungano, harakati hizo zimekuwa zikirndelea, tena wazi wazi.

Tanganyika tusije bweteka na hali hii na tukajikuta tumelea mahasimu ambao siku ya siku inakuwa vigumu kuwa tambua.

Leo Kenya wanatatizo hilo na Wasomali.
Mwaka 1939-45 wajerumani wote waliorodheshwa humu Tanganyika ili iwe rahisi kidhibiti vitendo vyao, ulipoingia utawala wa Kiingereza.

Ni vyema na sisi leo tukafanya hivyo ili kudhibiti lile kundi linaloitwa" the 5th column".

Wakuu tuchangie katika hili, tusije lia kilio cha mjukuu.
 
Mapinduzi ya Zanzibar hayapo tena tangu kuusisiwa Muungano. Lengo kuu la mapinduzi ilikuwa moja wapo ni mkomboa mzanzibari dhidi ya utawala wa "waraabu" ni kusimika utawala wa zanzibar kwa wazanzibar kwa ajili wazanzibari wote bila ya kujali dini, rangi na asili ya mtu.
lakini lengo hili lilizimwa kwa kiasi kikubwa baada ya Muungano. ingawa mwanzoni wakati wa Karume alikuwa mbogo kwa nyerere na kufanya mengi yaliyo na manufaa na zanzibar.
uhru wa mzanzibar kuamua mambo yao wenyewe umepotea baada ya muungano, hawawezi kuchagua rais wao wenyewe bila ya ridhaa ya Tanganyika
hawawezi kuchagua rafiki wala adui bila ya ridhaa wa tanganyika
mfano zanziabr ni nchi ya kiislam kutokana na wingi wake basi rafiki zake miongoni mwao ingekua ni mataifa ya kiislam lakini hili ndani ya muungano haliwezekani...
leo zanzibar imepoteza kabisa control na usimamizi wa uchumi wake..kila kitu kinaumuliwa kutoka tanzganyika BOT..HAIWEZI, KUKOPA, haiwezi kuingia mkataba na mashirika yoyote ya fedha kwa lengo la kusaidia kuimarisha uchumi wake kwa minajihi ya kuendeleza maisha bora kwa raia wake ambalo ndio lengo kuu la mapinduzi.
leo baada ya muungano zanzibar haimo TFF na wala haiwezi kuwa mwana chama wa FIFA..kABLA YA mUUNGANO NA MAPINDUZI WALIKUWA WANACHAMA PAMOJA NA UN
hivyo utaona muungano hailindi Malengo ya mapinduzi ila unalinda uwezekano wa zanzibar kuwa huru na kujiamulia mambo yao wenyewe,
Tanganyika hailindi mapinduzi ila inalinda Koloni lake, wamei fanya zanzibar sawa na koloni..mapinduzi hayapo tena...wala wenye mapinduzi zanzibar karibu wote wame kuwa ndio wahanga wa muungano wenyewe
kina Kassim hanga alikua makam wa rais zanzibar kabla ya muungano na mmoja watu walio nga mkono mpaindizi alikamatwa na nyerere pamoja na othman sharif aliyekuwa kiongoz mkuu wa mapinduzi nz waziri mwandamizi wa ASP.
HAWA NYERERE aliwakamata akawahukumu pale jamngwani kwenye mkutano wa hadhara na baadae kupelekwa zanzibar kunyongwa!
mauaji ya karume ni katika mambo ya mhanga wa muungano..kwani ndio mwisho wa wale wote wenye asili ya zanzibar ambao walikua waki support muungano kuwa ndani ya serikali hiyo ya mapinduzi..
hhakika wale wanamapinduzi wote walio kuwa wakijua nini malendo ya mapinduzi wamepotezwa na muungano na hawakulindwa
hawa kina aboud Jumbe, seif sharif,hata salmin komandooo...yupo kipofu...kina dorado, kina BABU, NA WENGI...
LEO NANI NI KABAKI KATIKA WALE WANAOMINI MAPINDUZI YA KWELI YA KUMKOMBOA MZANZIBARI KUWA HURU WOTE HAWAPIO TENA WAME MEZWA NA TANGANYIKA...
JEE SASA TANGANYIKA INALINDA NINI? VIJANA HAWA WANAO PINGA MUUNGANO SI WAPINGA MAPINDUZI BALI HAWA NA WAZANZIBARI WANAOTAKA DOLA YAO KABLA YA MUUNGANO NA WANA TAMKA WAZI JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR
HAWA HAWATAKI SULTANATE OF ZANZIBAR!!
WENGI YA VIJANA HWA HAWAMJUI KARUME WALA NYERERE,,..HAWAKUONA MAPINDUZI...HAWAKUONA MUUNGANO....ILA NI VIJANA WENYE UCHUNGU NA NCHI YAO...VIJANA AMBAO WAMEPIMA KWA KULINGANISHA NA KUJIULIZA JEE ZANZIBAR NDANI YA MUUNGANO HUU WANA NAFASI YA KUPIGA HATUA NA KUENDELEA NA KUWA MOJA YA NCHI ZENYE MAENDELEO MAKUBWA DUNIANI ? JIBU ..UKWELI NI HAPANA HATA SIKU MOHA
WAMEJIULIZA NDANI MUUNGANO....ZANIZBAR WATAKUWA NA UHRU WA KUCHAGUA VIONGOZI BORA WANAO WATAKA WENYEWE ..JIBU HAIWEZEKANI...
WAMEJIULIZA NDANI YA MUUNGANO INAWEZEKANA KU CONTROL UCHUMI WAO...NA KUDHIBITI MIFUMUKO YA BEI NA KUSHUKA KWA FDEDHA YA TANGANYIKA? JIBU HAPA UCHUMI WAO UTAENDELA KUWA TEGEMEZI NA KUSHUKA KILA UCHUMI WA TANGANYIKA UNAPOSHUKA
MFUMUKO WA BEI UTAAMULIWA NA HALI TANGANYIKA NA SIO WAO
THAMANI YA SHILLINGI ITA AMULIWA NA HALI YA TANGANYIKA NA WAO KUPATA ATHARI TU ZA DEVALUATION BILA YA FIDIA YOYOTE!!
SASA HAWA VIJANA NDIO WANA SEMA HAPANA TUACHIENI..TUPUMUE...
WANAJUA MADHILA YA MAAMUZI YAO...MOJA WAPO NI KWAMBA TANGANYIKA WAPO TAYARI KWA LOLOTE LAKINI HAWAWEZI KUWAACHIA KUPUMUA..HATA KAMA NI KUMWAGA DAMU KWANI HAYO KWA TANGANYIKA NDIO KULINDA 'MAPINDUZI' LAKINI KWA WAZANZIABR WA SASA VIJANA WANAJUA NI KOLONI NA WANA HAKI YA KUAMUA MUSTAKABALI WA NCHI YAO
MAKOSA YAMESHA FANYWA...NIA YA KUUNGANA HAIKUA NZURI..NA HILI NDIO WA ZANZIBAR LIME WASHTUA MENGINE YOOOOOTE NI POROJO.....
 
Mkuu Barux2, nadhani wewe ni miongoni mwa watu wanaotakiwa kuwa na shurani kwa muungano, mimi pia ni product ya Tambaza na Ilboru, sipati picha wewe ulikuwa na mwanafunzi wa aina gani?!, ila ninachikijua kuhusu wewe kwa sasa, hayo mafakio yote uliyonayo sasa, yako contributed na Tambaza, Ilboru na JKT!, kwa hili pekee, mtu mwenye shukrani, alipaswa kushukuru na sio kukashifu!.

Kuna mengi yaliyofanywa baada ya mapinduzi, hayatamkiki, hayasemeki, hayazungumziki na hayaandikiki!, subirini muungano uvunjike, kuna wengine watatafuta pa kutokea na njia wasiione!.

Ama kweli, mkataa pema, pabaya panamuita!.

Let Zanzibar Go!

Pasco.

Pasco,

Ahali yangu kama kweli unekuwa umepita kwenye mikono ya Kalumuna (Tambaza) au Bino (Ilboru) basi ungeweza kutafautisha kusema ukweli na kukashifu.

Kama umezisoma Hoja zangu kwa uzuri sana na kwa NIA yya kuzielewa nafikiri utakuwaa upande wangu kabisa kwani nimerejea zote katika historia yenu. Lakin kama ulizisoma kwa nia ya kupinga basi utaishia kupinga. Lakin mtu makini siku zote anasimama kwa HOJA na uthabiti wa maneno yake na ukweli. Nami nitasema kweli Daima kama ilivyokuwa ahadi za mwana TANU.

Mimi nakushauri nieleze wapi nimekashifu kama kweli hu msema kweli, au hoja gani kati ya nilizobainisha kuwa sio Kweli.

Nitakupa kisa kimoja wakti nasoma ILBORU High sch. Mimi ndie niliekuwa mwanafunzi wa Kwanza kumkabili BINO na kuzungumzia suala la form one waislam kulisha nguruwe wa skuli. Nilikaa nae kitako na kumweleza kinaga ubaga kuwa ni kinyume cha maadili naye alikubali na kusitisha hao form one waislam wasilishe Nguruwe. Bino alikuwa msikivu sana.

Lakin PIA napenda kukwambia sijasoma kwa ihsani bali kwa kodi alizokuwa akilipa baba yangu wakti huo. Na kwa bahati mimi mwenyewe nilikuwa nashughulikia kulipia kodi hizo nikiwa likizo. Hakika zilikuwa pesa nyingi sana ambazo zingewezesha watu zaidi ya 40 kusomeshwa kwa mwaka kutokana na ukubwa wa biashara zake. Kifupi nimesoma kwa kodi walizokuwa wakilipa wazazi wangu kwa serikali ya Tanganyyika.

ushauri wangu kwako. Simamia ukweli daima hata kama utakudhuru na kukukera. Kumbuka mtu mzima atishiwi nyau. Znz wameanza Tanganyika mmelala tena usingizi wa pono.

Ahlan,Mkuu Ndahani

Baada ya maamkizi hayo kwa hisani ya Nguruvi3

Tanganyika ilikwenda wapi baada ya 1964?

Mkuu Tanganyika ilifanyiwa usanii tu.
Je unatambua jina la asili la Muungano? Kama umelisahau, Jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar...Jina hili lilifanyiwa uchakachuaji, mizengwe, mazingaombwe, kiini macho au tuseme usanii likaopolewa Jamhuri ya Muungano wa Tan+Zan+ ia.

Huo ulikuwa uchakachuaji nambari moja, uchakachuaji nambari mbili ni ile sehemu inayoitwa Tanganyika,(iliyofupishwa kuwa Tan kuitwa Bara au Tanzania bara.

Wapi umepata kusikia kuwa mwanachama wa Muungano anapotea?
Muungano wa Tanzania una wanachama wangapi?

UK ambayo inatumia mfumo wa unitary gvt ina wanachama wake, England, Scotland, Wales na annexed-Nothern Ireland.

Usirudi na usanii kusema Tanzania ina wananachama wawili, Bara na Zanzibar.
Umempongeza Barubaru juu ya umuhimu wa elimu. Tumia elimu yako sasa kutafuta jibu hapo. Sio lazima kurudi hapa kujibu.

Ukivunjika Muungano kesho huyu mwanachama aliyeungana na Zanzibar hatotumia jina lake la asili(Tanganyika)?

Katika Muungano yapo mambo yanayoitwa mambo ya Muungano, halafu kuna mambo ambayo kila mwanachama wa Muungano ana mambo yake kivyake. Hutopata tabu kusema kuna mambo ya Zanzibar. Je mambo ya Tanganyika utasema ni mambo ya nani? Bara? Tanzania bara? au ya yule mwanachama aliyeungana na Zanzibar na kukubaliana kuwa kuna mambo hayatokuwa ni mambo ya Muungano?
Hivi Zanzibar iliungana na nani? Basi hayo mambo hapa yatakuwa ya huyu uliyemtaja.

Mtu hahitaji darubini kuona kuwa msuguano kama ulikuwa haupo Tanganyika basi sasa unajengeka.

Unauliza; "ntaanzia wapi mkuu?"
Barubaru ametahadharisha tusifiche maradhi.
Kuna haya yanayojiri Tanganyika.
1.Ndugu zake Mkandara wanataka mahakama ya kadhi, ambayo ilikuwepo mwanzoni, irejeshwe tena.
2.Kuna shule za kiislamu zinalalamikia matokeo ya mitihani.
3.Kuna BAKWATA wanataka kipengele cha dini ya raia kiingizwe kwenye sensa au itahamasisha waunga mkono wao kususia/ kugomea sensa.
4.Kuna MOU ya serikali na kanisa amabyo inalalamikiwa na wasio na MOU na serikali.
5.Kauli aliyoitaja Barubaru kuhusu Mzee Edwin Mtei na wingi wa wajumbe wa dini moja.
6.Malalamiko ya teuzi anazofanya Kikwete. kwa hili fungua mada zinazotaarifu teuzi za rais hapa JF.
7. Malalamiko kuwa kuna idadi ndogo ya wabunge wa imani moja bungeni.
8. Malalamiko kuwa Serikali inaendeshwa kwa mfumo-kristo.
9. Kauli kuwa CUF ni ya wavaa kanzu chafu na vibaragashia na kauli kuwa CHADEMA ni cha wakristo au watu wa kanda za juu,kaskazini.
10. Kauli zinazotoka za kuwa UAMSHO wanachoma moto makanisa ya "machogo" ambazo pia zinachukua sura ya "waislamu vs wakristo"
11. Kauli za dharau kuhusu/dhidi ya wanamadrasa kwa upande mmoja na "wanaona nchi hii kuwa ni mali yao" kwa upande mwingine.

Hata kama haya yote si kweli, yawe ni matamshi yanayoelea hewani tu, lakini ni vyema kuwa na tahadhari, kwani maumivu ya kichwa huanza pole pole.
Kukana kuwa hakuna msuguano unaojengeka ni kujifanya mbuni. Kuzika kichwa mchangani, udongoni huku mwili wote uko nje!

Pale penye kasoro ni vyema kufanyiwa kazi kurekebisha kasoro hizo kwa manufaa ya jamii.

Wenyewe Tanganyika hawayaoni hayyo kwa macho mpaka yawaguse siku moja. Wanafikiri kuwa UKELI UNAFICHIKA na kulazimisha watu waamini kuwa Tanganyika ni salama usalimin na itazidi kuwa salama bada ya kuvunja muungano.

Ok Funika kombe mwanakharamu apite.

Nawapa pole sana

Hivi wewe ni mwarabu? samahani kwa swali hili?

Ni mwarabu tena kutokea Ibra, Oman. Na Avatar yangu ni picha yangu halisi kabisa na vazi la asli yangu na la Taifa lang nalivaa kila siku kazini na nyumbani pia.

Vipi Tanzania hususan Tanganyika mchakato wa vazi lenu la Taifa umeishia wapi?
 
kwani kuna ubaya gani Seif kuwaita kaka zake kutoka uarabuni ,

Mbona Mkapa amewaita wazungu na kuwapa migodi kwa bei poa tu ??? Au hao ni ndugu zake ??

Tumeshughulishwa na kazanzibari na propaganda zisizo maana badala ya kuyashughulikia matatizo yetu yanayotuzidi kimo

LET THEM DO WHAT EVER THEY LIKE IT IS THEIR COUNTRY - TUSIWE WACHOYO NA ROHO MBAYA WAKATI TUNA JINCHI LETU KAZANZIBARI KANAINGIA MARA 100 000

Mkuu hapa ndipo tunapokosea, issue sio ukubwa wa Zanzibar, issue ni misingi ya muungano na maana yake kwa watu za visiwani na bara. Mkapa kufanya ujinga sio tikiti ya kumfanya Seif afanye ujinga uleule. Kama ulivypsema propaganda zisizo na maana zisiharibu msingi wa umoja.
Kama ni kweli watu wa Zanzibar wanataka muungano ufe waje na hija za maana, na waongee watu wa maana sio wahuniwahuni. So far watu wa maana kutoka visiwani wako kimya, ni wawili au watatu tu ndio wameongea, na walioongea hawajongea upuuzi.
 
wewe unayo mashine gani ya kupimia hawa ni watu wa maana na hawa sio ??? Unataka kuniambia wale wanasheria kwenye makongamano ni wahuni??? Pia hawa Jumuia ya Uamsho ambao ni mkusanyiko wa Jumuia zaidi ya 32 za kiislamu Zanzibar ni wahuni??? Jee hao watu kwa maelfu wanaokwenda kuwasikiliza nao pia hawana akili kuwasikiliza wahuni??

Zanzibar ni nchi yao kama vile walikubali kuingizwa kwenye muungano kwa nini wasiwe na haki ya kutoka kama wanaona hauna maslahi nao???

Lazima tuwe wastaarabu na waadilifu , Karne hii si ya kulazimishana.
Hata bwana Yesu hakumlazimisha mtu kumfuata

Tungalikuwa sisi waTanganyika kweli ni watu waadilifu na wenye kufuata haki wasingalipiga kelele hao na pia wangalikuja wengine kutuomba tuungane nao lakini sisi ndio tunaowakandamiza na kuwaibia mali zao na kuwawekea viongozi tunaowataka sisi kwa mtutu wa bunduki

Hivyo hata mimi ningalikuwa mzanzibari nisingalikubali

LET THEM GO TUPATE KUISAFISHA TANGANYIKA YETU ILIYOJAA DHULUMA , WIZI NA UFISADI .
 
Waliingizwa na nani? Nani anawanyima haki ya kutoka? Mali gani wanazoibiwa? Viongozi tunaowataka sisi - viongozi wepi hao? Na kitendo cha Maalim Seif kukubali kushindwa 2010 ilhali yeye ndiye mshindi, watanganyika ndio walimlazimisha kufanya hivyo?
 
Mkuu kwanza karibu sana JF kama kweli wewe ni member mpya. hata kama si mpya still unakaribishwa kwa jina jipya. Kumbuka kuwa hakuna nchi inayoitwa Tanganyika, it ceased to exist long long time ago.

Inawezekana bado kuna watanzania waliowahi kuwa watanganyika, inawezekana wao wanaikumbuka Tanganyika, lakini kuna wengine wengi tu ambao ndio wengi zaidi ambao hawajui hiyo Tanganyika ni nini, hakauna eneo la ardhi inayoitwa Tanganyika, hakuna sheria inayaoitambua Tanganyika, hakuna bendera ya Tanganyika wala wimbo wa Tanganyika, hakuna mahali ambapo Tangayika inatambuliwa.

Ukisikia mtu anasema mtanganyika jua huyo mwehu, anaishi katika njozi. Ni kweli kulikuwa na hiyo nchi miaka ile ambayo Burundi na Rwanda zilikuwa sehemu ya nchi hiyo, ukitaka kuirudisha kila la heri.

You are very right, busara huwa hawasomei katika chuo chochote, so kila mwenye busara anaweza kujua nani ni mtu wa maana na nani ni mtu wa ovyo
 
uelewe , Tanganyika ipo haijafa na ndio tarehe 9 Disemba tunasherehekea uhuru wake

ni kama ile nchi iliyoitwa Zaire imebadilishwa sasa inaitwa Kongo ,

Hii Zanzibar ni koloni letu tu ,tuliivamia 1964 na kuiunganisha kwa ujanja na Tukawatupia changa la macho la muungano
 
big up JF katika mada hii wanaJF Mumeitendea haki hakuna matusi wala kashfa ni kuelimishana tu nadhani humu hawakuingia wale vuchwa maji wa CDM ambao aazi yao ni matusi na kejeli kwa waislamu.

upande wangu ni kuwa kama Tanganyika tuna ardhi ya kutosha kwa nn tuwang"ang'anie znz na mbona wanong'ang'ania ni maaskofu!!!!!! hapa ndiyo pana mashaka......wamekwisha toa maagizo tunaona yanayotokea znz lkn kumb.yote haya yanakaa kwenye nyoyo za waznz siku wakisema basi sijui kama patakalika.kwaherini
 
haya wanakaya naona mnanitafuta ubaya na familia yangu zenji ila kama hoja zanzibar hawataki muungano, kwani taratibu za kiitifaki si zinajulikana hata katika utoaji wa maoni pia unawezekana kwa viongozi wa zanzibar? kama hawana utashi huo basi kuna udhaifu, kama upo huo udhaifu basi ni uhuni kusema wanataka zanzibar yao toka kwenye muungano wakiwa barabarani ndio kusema kuwa zanzibar pamoja na uongozi wao wote wameshindwa kuunganisha viongozi na wananchi na kuamua maoni ya wananchi wao? sitaki kuamini hivyo inawezekana pia ndo njia wanayotumia kuanzia kuchokonoa yasiyo na kheri kwao nadhani hii ichukuliwe kama tahadhari pia 7bu naona kuna hata nia ya kuchonganisha watanzania wenzao waone wanatatizo ndani ya muungano wakati si kweli ila kuna wenye malengo hasi kujikweza kimaisha na kuchumi huo ndio uhuni tunaozungumzia hata kama watoa hoja ni wasomi wanye uelewa kama wanatumia njia hasi kufikisha mawazo yao hilo halikubaliki kabisa na tulione ni adui wa umoja na mshikamano wa nchi yetu sote sitaki kuona watu wakijiona hawana umoja wa kimaendeleo ndani ya muungano wa kiundugu na wakatafuta mawazo hasi kufikia maendeleo wayatakayo nooo.....iwe mtu binafsi au chama atakuwa adui wetu nambari moja.
 
Waliingizwa na nani? Nani anawanyima haki ya kutoka? Mali gani wanazoibiwa? Viongozi tunaowataka sisi - viongozi wepi hao? Na kitendo cha Maalim Seif kukubali kushindwa 2010 ilhali yeye ndiye mshindi, watanganyika ndio walimlazimisha kufanya hivyo?
Ndio WaTanganyika walimlazimisha kufanya hivyo (Watanganyika hao si mimi na wewe) ,au ndugu huyajui yaliyotokea Bwawani usiku ule ? Tafuta usingoje kutafutiwa.
 
uelewe Tanganyika ipo haijafa na ndio tarehe 9 Diosemba tunasherehekea uhuru wake

ni kama ile nchi iliyoitwa Zaire imebadilishwa sasa inaitwa Kongo ,

Hii Zanzibar ni koloni letu tu ,tuliivamia 1964 na kuiunganisha kwa ujanja na Tukawatupia changa la macho la muungano
yes! wewe umeongea ukweli hata mimi na amini hivyo, wazenj ndio kwanza wanaamka leo, wanakumbuka shuka wakati kumekucha.
 
Mkuu Barux2, nadhani wewe ni miongoni mwa watu wanaotakiwa kuwa na shurani kwa muungano, mimi pia ni product ya Tambaza na Ilboru, sipati picha wewe ulikuwa na mwanafunzi wa aina gani?!, ila ninachikijua kuhusu wewe kwa sasa, hayo mafakio yote uliyonayo sasa, yako contributed na Tambaza, Ilboru na JKT!, kwa hili pekee, mtu mwenye shukrani, alipaswa kushukuru na sio kukashifu!.

Kuna mengi yaliyofanywa baada ya mapinduzi, hayatamkiki, hayasemeki, hayazungumziki na hayaandikiki!, subirini muungano uvunjike, kuna wengine watatafuta pa kutokea na njia wasiione!.

Ama kweli, mkataa pema, pabaya panamuita!.

Let Zanzibar Go!

Pasco.
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
 
Back
Top Bottom