Mapinduzi yaliyoshindwa ya DRC. Ni kwamba jamaa walienda kufanya mapinduzi au walikuwa wachekeshaji?

Mapinduzi yaliyoshindwa ya DRC. Ni kwamba jamaa walienda kufanya mapinduzi au walikuwa wachekeshaji?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Nimesoma story na kutazama video ya jamaa walio jaribu kupindua serikali ya DRC nikaona hawa jamaa wala hata hawakuwa serious. Walikuwa ni kikundi cha comedian wameenda kufanya video kwa ajili ya Tiktok ili wapate viewers na likes .

Anaejua account yao ya Tiktok aiandike chini hapo tuwa follow
 
Christian Malanga amepoteza maisha kwa uchu wa madaraka na uzembe, kwa exposure aliyokuwa nayo ndani ya DRC na European countries mbeleni angekuja kuwa kiongozi mkubwa sana
 
Kama unaona walienda kufanya comedy ya TikTok, jaribu wewe kwenda kupindua hapo Magogoni tu.
drc imefake mapinduz ili kupata attention.ya wacongo , huez anza rekodi video wakati upo kwenye mapigano ya kukamata nchi
 
Back
Top Bottom