Plot4Sale Mapinga baada ya Daraja la Bunju viwanja vilivyopimwa nauza!!!

Plot4Sale Mapinga baada ya Daraja la Bunju viwanja vilivyopimwa nauza!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nina viwanja 4 vyote vimepimwa kama Ramani inavyo onyesha katika picha
Baadhi ya viwanja vina mabanda na kingine kina banda na kisima hivyo ni wewe kuchagua Hata ukitaka kimoja njoo uchukue na bei tutajadiliana hivyo karibu sana.
Tazama picha vizuri kuanzia namba 18-19-20-21. Na uone sqm zake
contact No 0688300088
 
Attachments

  • Mapinga.jpeg
    Mapinga.jpeg
    29.8 KB · Views: 113
  • Mapinga.jpeg2.jpeg
    Mapinga.jpeg2.jpeg
    69.3 KB · Views: 106
  • Mapinga.3.jpeg
    Mapinga.3.jpeg
    74.1 KB · Views: 112
  • Mapinga.4.jpeg
    Mapinga.4.jpeg
    62.8 KB · Views: 116
  • Mapinga.5.jpeg
    Mapinga.5.jpeg
    80.9 KB · Views: 103
  • Mapinga.6.jpeg
    Mapinga.6.jpeg
    53.4 KB · Views: 101
  • Mapinga.6.jpeg
    Mapinga.6.jpeg
    53.4 KB · Views: 103
vina hati,,,maji umeme,,,umbali gani toka lami...bei
Umeme upo maji kisima kutoka barabarani ni 2.7km upande wa bahari mnaouliza bei anagalia mchoro kiwanja namba 18-19 vina mabanda na visisima 2 kimoja ndicho kinafanya kazi kingine pampu imeharibika atakayekuwa na bahati akachukua maeneo hayo atakuwa na bahati ya mtende ni kwamba sqm 1 nauza kwa 20000 maongezi yapo njoo hatutashindwana nakuhakikishia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
,,vina hati?nisaidie kuelewa,,,maji ya dawasco hayajafika hadi hapo,,viko maeneo yanaitwajee..ww ni dalali au mwenye mali?,,,kwa umbali huo punguza hiyo bei ndugu
 
umesomeka mkuu
 
,,vina hati?nisaidie kuelewa,,,maji ya dawasco hayajafika hadi hapo,,viko maeneo yanaitwajee..ww ni dalali au mwenye mali?,,,kwa umbali huo punguza hiyo bei ndugu
Asante kwa maswali mazuri
1. Vimepimwa hati zipo katika mchakato ukinunua sasa hivi utaendelea na mchakato nakuwa katika jina lako
2.Maji ya Dawasco yapo mimi sijavuta kwakuwa nina visima hivyo sikuona haja hiyo pia kwakuwa sikai huko sikuona ulazima.
3.Nikaribu na barabara kwa wenyeji wa hapo panaitwa kiharaka
4.Mimi ni mmliki halali kwa zaidi ya maswali nimekuwekea namba piga kwa uhakiki zaidi.
5.Kweli kama mnunuaji huwezi kuomba kupunguziwa ukiwa katika keyboard's unataka kupunguziwa unakuja unaona unaomba kupunguziwa katika keyboard's napata ugumu kukujibu ila kwa faida ya wengine siwezi kujadili bei nyuma ya keyboard's
6.Nakukaribisha tufanye biashara.
 
Mh Milion 40[emoji849][emoji849]
Bora nisogee hapo Zinga
Mkuu kila laheri nakutakia mema yote huko zinga ila vyakwangu vimepimwa na vina assetia naona hesabu imekupita mbali kama umesaidiwa na simu ya kichina imekudanganya kiwanja namba 18 bei yake ni 21,920,000, sasa wewe ml 40 umetoa wapi???pia inategemeana na ukubwa wakiwanja ndiyo una determine, hivyo ukiona uwezi pita hata kukashifu haikusaidii chochote mkuu ila ubarikiwe.
 
Mkuu kila laheri nakutakia mema yote huko zinga ila vyakwangu vimepimwa na vina assent na ukubwa wakiwanja ndiy una determine hivyo ukiona uwezi pita hata kukashifu haikusaidii chochote mkuu ila ubarikiwe.

Nimekashifu wapi ndg [emoji849]
Nimeshtuka nilidhani itakua bei poa kufananisha na Bunju[emoji1544]
 
Back
Top Bottom