nitakuja huko jumamosi lakini nawasiwasi kiharaka ni zaidi ya km tatu toka kwenye lami,,,bila kusahau nashukuru kwa majibu mazuri sory nikutaka kuelewa tu kama nilivoomba mwanzo so na wengine wajueAsante kwa maswali mazuri
1. Vimepimwa hati zipo katika mchakato ukinunua sasa hivi utaendelea na mchakato nakuwa katika jina lako
2.Maji ya Dawasco yapo mimi sijavuta kwakuwa nina visima hivyo sikuona haja hiyo pia kwakuwa sikai huko sikuona ulazima.
3.Nikaribu na barabara kwa wenyeji wa hapo panaitwa kiharaka
4.Mimi ni mmliki halali kwa zaidi ya maswali nimekuwekea namba piga kwa uhakiki zaidi.
5.Kweli kama mnunuaji huwezi kuomba kupunguziwa ukiwa katika keyboard's unataka kupunguziwa unakuja unaona unaomba kupunguziwa katika keyboard's napata ugumu kukujibu ila kwa faida ya wengine siwezi kujadili bei nyuma ya keyboard's
6.Nakukaribisha tufanye biashara.