Umeme upo maji kisima kutoka barabarani ni 2.7km upande wa bahari mnaouliza bei anagalia mchoro kiwanja namba 18-19 vina mabanda na visisima 2 kimoja ndicho kinafanya kazi kingine pampu imeharibika atakayekuwa na bahati akachukua maeneo hayo atakuwa na bahati ya mtende ni kwamba sqm 1 nauza kwa 20000 maongezi yapo njoo hatutashindwana nakuhakikishia.vina hati,,,maji umeme,,,umbali gani toka lami...bei
,,vina hati?nisaidie kuelewa,,,maji ya dawasco hayajafika hadi hapo,,viko maeneo yanaitwajee..ww ni dalali au mwenye mali?,,,kwa umbali huo punguza hiyo bei nduguUmeme upo maji kisima kutoka barabarani ni 2.7km upande wa bahari mnaouliza bei anagalia mchoro kiwanja namba 18-19 vina mabanda na visisima 2 kimoja ndicho kinafanya kazi kingine pampu imeharibika atakayekuwa na bahati akachukua maeneo hayo atakuwa na bahati ya mtende ni kwamba sqm 1 nauza kwa 20000 maongezi yapo njoo hatutashindwana nakuhakikishia.
Sent using Jamii Forums mobile app
umesomeka mkuuUmeme upo maji kisima kutoka barabarani ni 2.7km upande wa bahari mnaouliza bei anagalia mchoro kiwanja namba 18-19 vina mabanda na visisima 2 kimoja ndicho kinafanya kazi kingine pampu imeharibika atakayekuwa na bahati akachukua maeneo hayo atakuwa na bahati ya mtende ni kwamba sqm 1 nauza kwa 20000 maongezi yapo njoo hatutashindwana nakuhakikishia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa maswali mazuri,,vina hati?nisaidie kuelewa,,,maji ya dawasco hayajafika hadi hapo,,viko maeneo yanaitwajee..ww ni dalali au mwenye mali?,,,kwa umbali huo punguza hiyo bei ndugu
Mkuu kila laheri nakutakia mema yote huko zinga ila vyakwangu vimepimwa na vina assetia naona hesabu imekupita mbali kama umesaidiwa na simu ya kichina imekudanganya kiwanja namba 18 bei yake ni 21,920,000, sasa wewe ml 40 umetoa wapi???pia inategemeana na ukubwa wakiwanja ndiyo una determine, hivyo ukiona uwezi pita hata kukashifu haikusaidii chochote mkuu ila ubarikiwe.Mh Milion 40[emoji849][emoji849]
Bora nisogee hapo Zinga
Mkuu kila laheri nakutakia mema yote huko zinga ila vyakwangu vimepimwa na vina assent na ukubwa wakiwanja ndiy una determine hivyo ukiona uwezi pita hata kukashifu haikusaidii chochote mkuu ila ubarikiwe.
Wewe bei ya 40ml umeitoa wapi kama akili yako inajitegemea.
Huoni unaharibu biashara za watu kwa ushabiki mandazi??Kwani ukikaa kimya utaonekana mjinga au sasa hivi ndo unaonekana mjinga??