Plot4Sale Mapinga baada ya Daraja la Bunju viwanja vilivyopimwa nauza!!!

nitakuja huko jumamosi lakini nawasiwasi kiharaka ni zaidi ya km tatu toka kwenye lami,,,bila kusahau nashukuru kwa majibu mazuri sory nikutaka kuelewa tu kama nilivoomba mwanzo so na wengine wajue
 
tutawezana kweli miss chaga na fujo zako za humu jamii forum kweli,,,at itakua kama love thy neigbours series....haha...ni pm digit zako nije kutembea huko
Ha ha ha nunua kiwanja kwanza
 
acha fujo,,si ndo nije unionyeshe maeneo niwe na more than one option,,,ingenuity also is key,,,matapeli wengi dar yenu
Kaka kiiza awezi kukutapeli akikutapeli niambie nikupeleke anapokunywa bia
 
Kwani kesi ya uvamizi imekwisha mahakamani?
 
Huoni unaharibu biashara za watu kwa ushabiki mandazi??Kwani ukikaa kimya utaonekana mjinga au sasa hivi ndo unaonekana mjinga??
Leo umempata,kuna watu kibao wapo humu kuchafua hali ya hewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…