Matojo Cosatta
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 234
- 390
si usome?MATAGA,Lissu anaingia wapi hapo?
Umefanya jambo la maana sana kuleta hii habari.
MkuuMATAGA,Lissu anaingia wapi hapo?
Umefanya jambo la maana sana kuleta hii habari.
Umewaza kama mimi,ila haya mambo yataisha siku CCM iikitoka madarakani.Mapingamizi namba 4 na 5 yanavunja misingi ya haki ya Watanzania kuchaguliwa uongozi.
Nafikiri hata Ripoti ya Jaji Nyalali ilishauri tuondoe sharti la wagombea kuwa wanachama wa vyama vya siasa.
MATAGA,Lissu anaingia wapi hapo kwa hoja ya kufanya kampeni kabla ya wakati?
Umefanya jambo la maana sana kuleta hii habari.
Hapa pia anajiuliza,mtu huyu ambae hajapitishwa na Tume, anaitwaje mgombea uraisi?
CCM watakuloga, ngoja johnthebaptist aende kwa Sheikh Sharif majini!Kuanza Kampeini mapema (pre-mature election campaign) sio kosa chini ya sheria za uchaguzi za Tanzania. Kuanza Kampeini mapema hakumuondolei mtu sifa za kugombea Urais katika Sheria za Uchaguzi za Tanzania.
Kuanza Kampeini mapema ni kosa chini ya sheria za ndani za CCM lakini sio kwenye sheria za nchi.
Ni kazi ya Bunge kupitia constituent assembly wafanyie marekebisho katiba na kufuta ibara inayotoa hilo sharti.Mapingamizi namba 4 na 5 yanavunja misingi ya haki ya Watanzania kuchaguliwa uongozi.
Nafikiri hata Ripoti ya Jaji Nyalali ilishauri tuondoe sharti la wagombea kuwa wanachama wa vyama vya siasa.
Tanzania itaingia kwenye machafuko ambayo hayajawahi toke tangu dunia imeumbwaMkuu
Election Commision ipo ndani ya mifuko ya mwenye enzi kuu duniani....
Itapigwa simu au text msg atakatwa mtu.....ni lazima...
Dictator yeyote duniani ni muoga kupita maelezo kuona kwenye sanduku la kura kuna jina la worthy challenger.....
Taasisi zote zipo held by the balls na mwenye enzi duniani na mbinguni....
Utaona vituko sana...just wait and seee!
Electoral Commision itakua weaponized to delete the threatening candidate to the dictator.....
Ukiangalia hapo mbona kuna kanuni nyingi tu ambazo zinamgusa mtu kabla hajateuliwa na tume.MATAGA,Lissu anaingia wapi hapo kwa hoja ya kufanya kampeni kabla ya wakati?
Umefanya jambo la maana sana kuleta hii habari.
Hapa pia anajiuliza,mtu huyu ambae hajapitishwa na Tume, anaitwaje mgombea uraisi?
Sasa kuna maana gani ya kumuwekea pingamizi mtu asigombea na hapo hapo tayari anatambulika/anatajwa kama mgombea?
Je,tumekosa msamiati wa kiswahili katika hili au mimi ndio sielewi?
Mapingamizi namba 4 na 5 yanavunja misingi ya haki ya Watanzania kuchaguliwa uongozi.
Nafikiri hata Ripoti ya Jaji Nyalali ilishauri tuondoe sharti la wagombea kuwa wanachama wa vyama vya siasa.
Sio kweli sheria hiyo haivavunjwa.Hapo namba 15 inaondoka na lisu.
Na hii inasababisha wagombea wenye vipaji vya uongozi ktk jamii husika kukoswa nafasi ya kugombea kwa sbb ya ukilitimba uliomo ndani ya vyama vya siasa vyote.Mapingamizi namba 4 na 5 yanavunja misingi ya haki ya Watanzania kuchaguliwa uongozi.
Nafikiri hata Ripoti ya Jaji Nyalali ilishauri tuondoe sharti la wagombea kuwa wanachama wa vyama vya siasa.
Ccm ni utopolo,mtu mwenye akili timamu huwezi kutamani kuongozwa na miaka mitano mingineMkuu
Election Commision ipo ndani ya mifuko ya mwenye enzi kuu duniani....
Itapigwa simu au text msg atakatwa mtu.....ni lazima...
Dictator yeyote duniani ni muoga kupita maelezo kuona kwenye sanduku la kura kuna jina la worthy challenger.....
Taasisi zote zipo held by the balls na mwenye enzi duniani na mbinguni....
Utaona vituko sana...just wait and seee!
Electoral Commision itakua weaponized to delete the threatening candidate to the dictator.....
11,12, & 13MATAGA,Lissu anaingia wapi hapo kwa hoja ya kufanya kampeni kabla ya wakati?
Umefanya jambo la maana sana kuleta hii habari.
Hapa pia anajiuliza,mtu huyu ambae hajapitishwa na Tume, anaitwaje mgombea uraisi?
Sasa kuna maana gani ya kumuwekea pingamizi mtu asigombea na hapo hapo tayari anatambulika/anatajwa kama mgombea?
Je,tumekosa msamiati wa kiswahili katika hili au mimi ndio sielewi?
Ndo maana tunaongozwa na kina MaguNa hii inasababisha wagombea wenye vipaji vya uongozi ktk jamii husika kukoswa nafasi ya kugombea kwa sbb ya ukilitimba uliomo ndani ya vyama vya siasa vyote.
Rasimu ya katiba ya jaji Warioba inapendekeza kuwe na mgombea binafsi pia.