VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,168
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...from jasusi mbobezi to this tweet gossip...
ana "twit" mapambio, kwanini asiangalizie kwa akina Prof. Shivj?Dah...from jasusi mbobezi to this tweet gossip...
Very pathetic.
Nyumbu wanahamishwa tena kwenye mjadala wa Membe na MsibaAmenifurahisha na kunistaajabisha hapo kwenye ,, uhuru wa Mahakama” I mean Membe waache wengine waongee lkn siyo wewe, ulikuwa Waziri/Naibu kwa miaka 10 Wizara ya Mambo ya nje, je hiyo Mahakama haikuwa huru hadi ushangilie uhuru wake leo hii?
Ni HALLELUYA Mheshimiwa.
Nilishindwa mnasema mahakama sio huru!
Na siku hizi simsikii tena Musiba
Baada ya muda atakuja kulia tena kua mahakama mbovu,akili za huyu dingi kama za wale wasio na ofisi miaka yote,
Mbona trump anatweet huna huja mkuuDah...from jasusi mbobezi to this tweet gossip...
Very pathetic.
Amenifurahisha na kunistaajabisha hapo kwenye ,, uhuru wa Mahakama” I mean Membe waache wengine waongee lkn siyo wewe, ulikuwa Waziri/Naibu kwa miaka 10 Wizara ya Mambo ya nje, je hiyo Mahakama haikuwa huru hadi ushangilie uhuru wake leo hii?
Trump anafikaje hapa? Ndio anaweka standards siku hizi?