Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Ndugu Boniface Jacob usishangae sana, wala usione kama usaliti kuhusu pingamizi za wana ACT dhidi yako na wagombea nafasi zingine wa CHADEMA ndani ya Jimbo la Ubungo. Zitto analaumiwa bure tu kwa zimwi mlilolitengeneza wenyewe CHADEMA.
Sishangai hii tabia ya waafrika wengi kukimbilia kulaumu watu juu ya matatizo yao wenyewe. Tunapenda kutafuta njia rahisi na ya mkato tunapotaka kutatua changamoto zetu, tunakwepa uwajibikaji pale tunapokosea.
We are inclined to follow heuristic approach when solving our problems, if that is not enough to explain our failure we tend to look for scapegoats. That's why Zitto 's name came first when CHADEMA followers are trying to find out who is real culprit of this untimely electoral candidate's objection.
BUT
"A heuristic is a mental shortcut that allows an individual to make a decision, pass judgment, or solve a problem quickly and with minimal mental effort. While heuristics can reduce the burden of decision-making and free up limited cognitive resources, they can also be costly when they lead individuals to miss critical information or act on unjust biases." __ soma zaidi Heuristics
"Heuristics can also contribute to things such as stereotypes and prejudice.6 Because people use mental shortcuts to classify and categorize people, they often overlook more relevant information and create stereotyped categorizations that are not in tune with reality." __ soma zaidi How Heuristics Help You Make Quick Decisions or Biases
Sisi wadadisi wa siasa za Ubungo tunajua baadhi ya wana CHADEMA walio ondoka chamani kwenu wamejiunga na ACT-Wazalendo, pia tunakumbuka jinsi mlivyo vurugana na kufukuzana ndani ya chama chenu kwenye jimbo na Wilaya ya Ubungo. Bahati mbaya sana kwako mvurugano ulipamba moto karibu na muda wa uchaguzi hivyo kusababisha kukosekana muda wa kutafuta suluhu mapema msifikie hali hii ya kukigawa chama chenu na kupunguza kura.
Nina wasiwasi sana kule Arusha pia CHADEMA itaathirika na tatizo kama hilo sababu ya mpasuko uliokuwa unaendelea na kusababisha kufukuzana chama au watu kuhama wenyewe CHADEMA. Tuliwahi kutoa angalizo lile zoezi la kutafuta wachawi (Witch hunting) na wasaliti ndani ya chama chenu linaweza kuleta madhara na kuwapunguzia kura uchaguzi mkuu wa 2020.
Wewe na ndugu Lema mkibahatika kushinda uchaguzi huu inatakiwa mjitathimini na kuachana na siasa za kukigawa chama kwenye makundi.
Nawatakieni uchaguzi mwema.