Uchaguzi 2020 Mapingamizi ya wana ACT-Ubungo dhidi ya Boniface Jacob ni zao la 'Witch-Hunting' ndani ya CHADEMA-Ubungo

Uchaguzi 2020 Mapingamizi ya wana ACT-Ubungo dhidi ya Boniface Jacob ni zao la 'Witch-Hunting' ndani ya CHADEMA-Ubungo

Unafikiri mwenyekiti wa CCM na jopo la viongozi wenzie wa juu wa chama chao walipenda kuwarudisha kundini akina Nape?
Walijua faida ya kuvumiliana na umoja ni nguvu ya ushindi.

Kule kwa akina nape kuna DOLA na nilazima waheshimu na wawe wapole na wao wanalijua hilo usilinganishe na chama kisichokuwa na dola
 
Ahsante sana kwa kuliona hili jambo kwa undani.

Labda nikuongezee taarifa zaidi, kuna habari za chini ya zulia kwamba kuna watu walikuwa na nyadhifa mbalimbali ndani ya CHADEMA Ubungo, wengine walikuwa na nyadhifa ndani ya serikali za mitaa wamehamia ACT na wanagombea udiwani. Sitawataja hapa nawaachia wapiga kelele bila tafiti wakafuatilie chamani kwao juu ya jambo hili.

Mgogoro wa Ubungo ni zaidi ya Boniface na Kubenea, kuna wengine wa chini yao wamegawana mbao za kutengenezea jahazi moja la kuwavusha uchaguzi wa 2020.

Hilo sio tatizo kwa kuwa hakuna ushirikiano kila chama kinataka ushindi sasa usiangalie ukaribu wa mtu kila mtu anapambana ashinde laiti kama kungekuwepo na ushirikiano hapo lawama zingekuwepo ni sawa kuwekeana mapingamizi ilimradi kila chama kichange karata zake vizuri na kuhakikisha wanapata mtaji wa kutosha
 
Hapa ndipo ilipofikia elimu yetu.
Umeambiwa kuna wanachama wa CHADEMA waliohamia ACT na kwenda kugombea nafasi ambayo CHADEMA pia wanagombea, hao ndiyo wasanifu wa haya mapingamizi.

Ukiona mtu anakimbilia matusi na kukashifu ujue huyo ni lazy thinker siyo great thinker.
Umekurupuka kujibu kabla ya kusoma na kuelewa, vinginevyo unanipa ushaidi hujui nini kinaendelea ndani ya CHADEMA Ubongo.
Ndio kata zote? Sera ya chama ikoje?? Yaani hira za mtu binafsi anaharibu image ya chama kizima??
Imbecile
 
Kuna watu wanataka ACT iwe Subservient kwa Chadema (Ni kama mfumo Kristo ulivyo nchini, jambo fulani akifanya muislamu inakuwa nongwa, ila akifanya Mkiristo its not a big deal)
Kuna vitu CCM na vingine CHADEMA wamejikabidhi kama birthright yao.
Kuna baadhi ya mambo CHADEMA ni mfano wa CCM tofauti yao ni kuwa CCM angalau wana established systems kidogo kujaribu kupunguza athari hasi za mawazo hayo mgando ya birthrights kwenye vyama vya siasa.

CHADEAMA wanahisi wao ndiyo wanapaswa kusikilizwa na kuheshimiwa zaidi miongoni mwa vyama vya upinzani. Wanahisi kila watakacho wao kwenye makubaliano yoyote ndani ya upinzani lazima wasikilizwe wao kwanza kisha wengine wafuate matakwa ya CHADEMA.
 
..ACT jimbo la Ubungo ni watu waliotoka CDM hivi karibuni.

..siyo jambo la ajabu kwamba wana misimamo mikali na mitizamo hasi dhidi ya CDM.

..hata Zitto Kabwe uchaguzi wa 2015 alikuwa na mitizamo hasi dhidi ya CDM.

..muda ukipita ACT jimbo la Ubungo wataelewana na ndugu zao wa CDM, we need to give them time.
 
Ahsante sana kwa kuliona hili jambo kwa undani.

Labda nikuongezee taarifa zaidi, kuna habari za chini ya zulia kwamba kuna watu walikuwa na nyadhifa mbalimbali ndani ya CHADEMA Ubungo, wengine walikuwa na nyadhifa ndani ya serikali za mitaa wamehamia ACT na wanagombea udiwani. Sitawataja hapa nawaachia wapiga kelele bila tafiti wakafuatilie chamani kwao juu ya jambo hili.

Mgogoro wa Ubungo ni zaidi ya Boniface na Kubenea, kuna wengine wa chini yao wamegawana mbao za kutengenezea jahazi moja la kuwavusha uchaguzi wa 2020.
Ubungo tunewachoka mara zote tumewavumilia lakini miaka mitano hatukumuona Bwawa Kubenea,kama haitoshi hata Diwani wetu nae hakujitanua.
Ubungo wanakuja kuvunja mwiko,mwana kulitafuta mwana kulipata.
 
..ACT jimbo la Ubungo ni watu waliotoka CDM hivi karibuni.

..siyo jambo la ajabu kwamba wana misimamo mikali na mitizamo hasi dhidi ya CDM.

..hata Zitto Kabwe uchaguzi wa 2015 alikuwa na mitizamo hasi dhidi ya CDM.
ona
..muda ukipita ACT jimbo la Ubungo wataelewana na ndugu zao wa CDM, we need to give them time.
Ahsante sana mkuu.
Siku zote wewe na mimi tumekuwa na mjadala mzuri sana hata pale tunapokuwa na mitazamo tofauti au tunapo kubaliana kutokubaliana.

Hiki ulicho andika hapa ndiyo ufupisho wa niliyotaka kumueleza Boniface Jocob, lakini kwa bahati mbaya lazy thinkers wakaona nafanya propaganda na kampeni kwa chama flani.

Katika wasomaji wengi wa mada hii wewe ni mmoja kati ya watu wachache walioelewa mada yangu.
 
Ahsante sana mkuu.
Siku zote wewe na mimi tumekuwa na mjadala mzuri sana hata pale tunapokuwa na mitazamo tofauti au tunapo kubaliana kutokubaliana.

Hiki ulicho andika hapa ndiyo ufupisho wa niliyotaka kumueleza Boniface Jocob, lakini kwa bahati mbaya lazy thinkers waka nafanya propaganda na kampeni kwa chama flani.

Katika wasomaji wengi wa mada hii wewe ni mmoja kati ya watu wachache walioelewa mada yangu.

..mimi nimekaa nikafikiria, nimefikia conclusion kwamba Tz inahitaji vyama vitatu vikubwa vya siasa.

..natamani hilo litokee ktk uchaguzi wa 2020 ili wanasiasa waheshimiane, na wathaminiane.
 
..mimi nimekaa nikafikiria, nimefikia conclusion kwamba Tz inahitaji vyama vitatu vikubwa vya siasa.

..natamani hilo litokee ktk uchaguzi wa 2020 ili wanasiasa waheshimiane, na wathaminiane.
This is the way forward.
 
Mara nyingine we can blame ccm kwamba wanaua chadema ila to be honest hawa jamaa wanaua hiki chama wenyewe polepole
Wanashindwa kukijenga chama chao badala yale wanalaumu kila wanayeonana naye njiani...

Wanapenda kubebwa bebwa
 
Hujui kitu mkuu , chadema haiwezi kufuga wasaliti eti kwa kuhofia mamluki kuhujumu , Never ever !
Mkuu sasa wakati muafaka kufanya tathimini kama nilikuwa sahihi kuhusu WITCH HUNTING ndani ya CHADEMA kuwagharimu Boniface na Lema.

Sasa ndiyo utajua ilikuwa hujui lakini ulihisi unajua.
 
Back
Top Bottom