Unafikiri mwenyekiti wa CCM na jopo la viongozi wenzie wa juu wa chama chao walipenda kuwarudisha kundini akina Nape?
Walijua faida ya kuvumiliana na umoja ni nguvu ya ushindi.
Ahsante sana kwa kuliona hili jambo kwa undani.
Labda nikuongezee taarifa zaidi, kuna habari za chini ya zulia kwamba kuna watu walikuwa na nyadhifa mbalimbali ndani ya CHADEMA Ubungo, wengine walikuwa na nyadhifa ndani ya serikali za mitaa wamehamia ACT na wanagombea udiwani. Sitawataja hapa nawaachia wapiga kelele bila tafiti wakafuatilie chamani kwao juu ya jambo hili.
Mgogoro wa Ubungo ni zaidi ya Boniface na Kubenea, kuna wengine wa chini yao wamegawana mbao za kutengenezea jahazi moja la kuwavusha uchaguzi wa 2020.
Ndio kata zote? Sera ya chama ikoje?? Yaani hira za mtu binafsi anaharibu image ya chama kizima??Hapa ndipo ilipofikia elimu yetu.
Umeambiwa kuna wanachama wa CHADEMA waliohamia ACT na kwenda kugombea nafasi ambayo CHADEMA pia wanagombea, hao ndiyo wasanifu wa haya mapingamizi.
Ukiona mtu anakimbilia matusi na kukashifu ujue huyo ni lazy thinker siyo great thinker.
Umekurupuka kujibu kabla ya kusoma na kuelewa, vinginevyo unanipa ushaidi hujui nini kinaendelea ndani ya CHADEMA Ubongo.
Kuna vitu CCM na vingine CHADEMA wamejikabidhi kama birthright yao.Kuna watu wanataka ACT iwe Subservient kwa Chadema (Ni kama mfumo Kristo ulivyo nchini, jambo fulani akifanya muislamu inakuwa nongwa, ila akifanya Mkiristo its not a big deal)
Kuna vitu CCM na vingine CHADEMA wamejikabidhi kama birthright yao.
Kuna baadhi ya mambo CHADEMA ni mfano wa CCM tofauti yao ni kuwa CCM angalau wana established systems kidogo kujaribu kupunguza athari hasi za mawazo hayo mgando ya birthrights kwenye vyama vya siasa.
CHADEAMA wanahisi wao ndiyo wanapaswa kusikilizwa na kuheshimiwa zaidi miongoni mwa vyama vya upinzani. Wanahisi kila watakacho wao kwenye makubaliano yoyote ndani ya upinzani lazima wasikilizwe wao kwanza kisha wengine wafuate matakwa ya CHADEMA.
Ubungo tunewachoka mara zote tumewavumilia lakini miaka mitano hatukumuona Bwawa Kubenea,kama haitoshi hata Diwani wetu nae hakujitanua.Ahsante sana kwa kuliona hili jambo kwa undani.
Labda nikuongezee taarifa zaidi, kuna habari za chini ya zulia kwamba kuna watu walikuwa na nyadhifa mbalimbali ndani ya CHADEMA Ubungo, wengine walikuwa na nyadhifa ndani ya serikali za mitaa wamehamia ACT na wanagombea udiwani. Sitawataja hapa nawaachia wapiga kelele bila tafiti wakafuatilie chamani kwao juu ya jambo hili.
Mgogoro wa Ubungo ni zaidi ya Boniface na Kubenea, kuna wengine wa chini yao wamegawana mbao za kutengenezea jahazi moja la kuwavusha uchaguzi wa 2020.
Hii kauli ilimgharimu Lisu watu wasiojulikana wakamshughulikia, wasiliti wa nchi hawatakaa waione ikuluHujui kitu mkuu , chadema haiwezi kufuga wasaliti eti kwa kuhofia mamluki kuhujumu , Never ever !
Ahsante sana mkuu...ACT jimbo la Ubungo ni watu waliotoka CDM hivi karibuni.
..siyo jambo la ajabu kwamba wana misimamo mikali na mitizamo hasi dhidi ya CDM.
..hata Zitto Kabwe uchaguzi wa 2015 alikuwa na mitizamo hasi dhidi ya CDM.
ona
..muda ukipita ACT jimbo la Ubungo wataelewana na ndugu zao wa CDM, we need to give them time.
Ahsante sana mkuu.
Siku zote wewe na mimi tumekuwa na mjadala mzuri sana hata pale tunapokuwa na mitazamo tofauti au tunapo kubaliana kutokubaliana.
Hiki ulicho andika hapa ndiyo ufupisho wa niliyotaka kumueleza Boniface Jocob, lakini kwa bahati mbaya lazy thinkers waka nafanya propaganda na kampeni kwa chama flani.
Katika wasomaji wengi wa mada hii wewe ni mmoja kati ya watu wachache walioelewa mada yangu.
Mara nyingine we can blame ccm kwamba wanaua chadema ila to be honest hawa jamaa wanaua hiki chama wenyewe polepoleWasaliti wamebaki lakini wapambanaji wameondoka.
Msijitekenye kinafiki. Arusha kuna mpasuko mkubwa na mtaona matokeo soonest
Wanashindwa kukijenga chama chao badala yale wanalaumu kila wanayeonana naye njiani...Mara nyingine we can blame ccm kwamba wanaua chadema ila to be honest hawa jamaa wanaua hiki chama wenyewe polepole
Mkuu sasa wakati muafaka kufanya tathimini kama nilikuwa sahihi kuhusu WITCH HUNTING ndani ya CHADEMA kuwagharimu Boniface na Lema.Hujui kitu mkuu , chadema haiwezi kufuga wasaliti eti kwa kuhofia mamluki kuhujumu , Never ever !