Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa mshana wivuuuu
nishaona rafiki yangu mmoja muwest akipika mlenda au wanaita peanut sauceHaya jamani kwa sie tunaoenda kuolewa na wanaijeria aka wapopo tufundishane kupika vyakula vyao jalfrezi rice pepe soup egusi etc
nishaona rafiki yangu mmoja muwest akipika mlenda au wanaita peanut sauce
Unakaanga kitunguu 1
Unaweza nyanya 2-3
na kipakti kimoja cha maggi(kidonge cha supu?
Vikilainika unaweka bamia ulolikatakata vipande vidongo vingi .
Kisha kitoweo chako kama ni kuku unamkaanga kwanza pembeni kisha unamuweka mllenda ukiiva
na wanachanganya na samaki wakavu mwisho au kamba kocha
Hio peanut sauce unatumia karanga zilosagwa au zilopondwa lkn system ni hiohio ila huwezi bamia tu na samaki wakavu!