Mapishi haya

Mapishi haya

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,828
Reaction score
1,712
Haya jamani kwa sie tunaoenda kuolewa na wanaijeria aka wapopo tufundishane kupika vyakula vyao jalfrezi rice pepe soup egusi etc
 
nishaona rafiki yangu mmoja muwest akipika mlenda au wanaita peanut sauce
Unakaanga kitunguu 1
Unaweza nyanya 2-3
na kipakti kimoja cha maggi(kidonge cha supu?
Vikilainika unaweka bamia ulolikatakata vipande vidongo vingi….
Kisha kitoweo chako kama ni kuku unamkaanga kwanza pembeni kisha unamuweka mllenda ukiiva
na wanachanganya na samaki wakavu mwisho au kamba kocha

Hio peanut sauce unatumia karanga zilosagwa au zilopondwa lkn system ni hiohio ila huwezi bamia tu na samaki wakavu!
 
very interesting will try this
 
Back
Top Bottom