Mapishi mbalimbali ya Karanga za kukaanga

Mapishi mbalimbali ya Karanga za kukaanga

Mamaangu anapika sana ila kwakuwa ana tatizo la ugonjwa wa kisukari wakati mwingine hutia chumvi tu bila sukari ni tamu pia.
 
Ni nzuri sana hata mm nazipenda sana


Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Mie nitajaribu mayai ya karanga, kuona yanakuwaje.
 
Mmmhh nilikuwa nasaka hii kitu asee huku pazuri na hivi kesho ninamgeni maalum mmmmhhh utamu wa karanga utazidi!!!
 
Habari za mlo kwa wakati huu.

Jamani naomba kuelekezwa jinsi ya kutengeneza karanga za mayai..Napendaga sana tena saana tu ila naishiaga kununua tu supermarket nakwingineko.

Siku moja buana nkajifanya nazitengeneza mwenyewe kwa kuzipimia kisimpo simpo tu haaaaaa kilitoka kituko sijawahi ona sema nlikula hivohivo tu kwa kuonea huruma malighafi zangu especially mayai.

Roho inaniuma kununua nunua jamani wakati I think all materials needed for that are available at my place karanga za kumwaga mayai ndio usiseme tena ya kienyeji sh 250 tu.Anayejua anipe procedures jamani.

Bila kumsahau mwenyekiti wa kamati ya mapishi farkhina

Nawasilisha.
 
Mie ni addicted wa karanga hasa za kukaangwa na kuchemshwa na maganda yake. Subiri nijaribu taste ya hizi nazo nahisi zitakuwa nzuri pia kwangu..
 
Hayo mafuta yanakuwa mengi kiasi gani?ni kama ya kukaanga maandazi...yaani yafunike karanga zielee au kidogo tu karanga ziwe juu zinaonekana....asante kwa somo
 
Pia ukitaka kuondoa harufu ya yai tia vanila au sigina ganda la limau then weka kwenye mkorogo wa yai
 
Back
Top Bottom