Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Sisikiagi ladha yake zaidi ya kuufeel utelezi wakeHahaaaa!
Kwanini huzipendi?
Sasa ndio nimepatia picha hiyo soup ikichanganywa na bamia itakavyokuwa inateleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisikiagi ladha yake zaidi ya kuufeel utelezi wakeHahaaaa!
Kwanini huzipendi?
Dah...,Bamia huwa sizielewi kwa kweli,sio siku hizi ni tangu zamani
Ule utelezi ndio wenyewe sasa yaani kitu laaaiiiiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....Sisikiagi ladha yake zaidi ya kuufeel utelezi wake
Sasa ndio nimepatia picha hiyo soup ikichanganywa na bamia itakavyokuwa inateleza
Hehe mbona samaki hajapikwa mkuu, au mchemsho huu ndo ulivyo?Shukrani bibie..mchemsho mzuri huu nimeupenda
Nime_imagine tu mkuuHehe mbona samaki hajapikwa mkuu, au mchemsho huu ndo ulivyo?
Ha ha ha, au weka mhogoSisikiagi ladha yake zaidi ya kuufeel utelezi wake
Sasa ndio nimepatia picha hiyo soup ikichanganywa na bamia itakavyokuwa inateleza