speedcom
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 320
- 179
.nitakuwa nakusa nidhamu na adabu nisiposema SHUKRAN SANA MKUU... among my best hobbies ukiachilia mbali computer ni mapishi,na sijisikii raha kam nikimaliza wiki sijaingia jikoni mwenyewe yena kwa raha na kupika ila hii ninyongeza tamu sana katika collection yangu,.. narudia tena SHUKRAN SANA kwa kazi safi uliyoitend.. tafadhali nipatie na website kama ipo nizidi kujipatia mapishi mapya kila leo... kazi nzuri mkuu Mahmood
llApp nzuri sana. Thanks Mahmood
qqE.c