Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ninapenda kula bamia kwa style hii, huweza kuliwa na wali, ugali au mihogo ya kuchemsha. Kwa kubadili ladha huwa ninaweka nyama ndani au minofu ya samaki hasa vibua.
Ninaakaanga vitungu na nyanya na kuweka spices kama coriander, chilli powder, paprika, binzari nyembamba na kuweka nyama au samaki vilivyochemshwa kwanza na kumaliza na bamia zima.