Mapishi ya bamia

Mapishi ya bamia

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1553666065167.jpeg

Ninapenda kula bamia kwa style hii, huweza kuliwa na wali, ugali au mihogo ya kuchemsha. Kwa kubadili ladha huwa ninaweka nyama ndani au minofu ya samaki hasa vibua.

Ninaakaanga vitungu na nyanya na kuweka spices kama coriander, chilli powder, paprika, binzari nyembamba na kuweka nyama au samaki vilivyochemshwa kwanza na kumaliza na bamia zima.
 
View attachment 1054971

Dada, umekusudia hizi bamia za mboga mboga au nyengine?
 
Hoho na nyanya chungu je?
View attachment 1054971

Ninapenda kula bamia kwa style hii, huweza kuliwa na wali, ugali au mihogo ya kuchemsha. Kwa kubadili ladha huwa ninaweka nyama ndani au minofu ya samaki hasa vibua.

Ninaakaanga vitungu na nyanya na kuweka spices kama coriander, chilli powder, paprika, binzari nyembamba na kuweka nyama au samaki vilivyochemshwa kwanza na kumaliza na bamia zima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda saana bamia nikiweka nyanya chungu(ngogwe) au bamia na bilinganya kidogo pamoja na viungo vichache bila kumsahau samaki sana sana kibua au sangara niweke na tui la nazi au karanga..yay😋😋hakika ugali wangu wa dona utakuwa mtaaamm mnoo..
 
Back
Top Bottom