Nifah jaribu, ni chapati nzuri na tamu kweli. Mie nilifundishwa na binti mmoja wa kitanga, aiseeh!!!Mhhhhhh hii ni kweli jamani?
Maboga kwenye chapatti?
Ngoja nitacheki na chef wangu nimuulize...nataka kujua mapishi mbalimbali na kwa ufasaha ili hubbie to be afurahie mapishi yangu always [emoji12]
Mi chapati huwa zinanijaza tumbo [zinanifanya nijisikie nimeshiba mno] sana.
Hivi mpo mlio kama mimi?
Na kwa sababu hiyo huwa sizili mara kwa mara.
Itakua hupendelei vitu vya mafuta ndio mana au samli inakukinaisha
Hakuna chapati laini vizuri kama inayomixiwa na maboga...niliwahi kula mahali flani kiukweli ni nzuri.
Nilielekezwa namna ya kupika kuwa ni hivi:-
-Unapika maboga kawaida kisha yakiiva unablend na maji ya uvuguvugu itakuwa kama siagi, baada ya muda mfupi unachanganya kwenye unga wa chapati kisha banika chapati zako.
Wallah...ni tamu na laini kwelikweli.
Mhhhhhh hii ni kweli jamani?
Maboga kwenye chapatti?
Ngoja nitacheki na chef wangu nimuulize...nataka kujua mapishi mbalimbali na kwa ufasaha ili hubbie to be afurahie mapishi yangu always [emoji12]
Mkuu wacha nijifunze kupika chapati, maana ni moja ya vyakula ambavyo siwezi kuandaa. Nilijaribu zikatoka kama KAUKAU sikurudia tena.Ohooo hive ulishawahi kujiuliza kwanini wadada wazuri wote either wameolewa au una undugu nao!???
karibu sana maMentor na Evelyn Salt naomba kiwatembelea
Hadi leo hii kuna watu Tanzania hii kuweza kupika chapati za chini ya kiwango ni mafanikio makubwa kwao!
AlhamduliLlah.
Naweza hio kazi rahisi. Hivi vya kukanda unga ndio siwezi,too complicated for me.Ukimaliza, jaribu pilau!
Ngoja nitajaribu mpenzi,Asante.Nifah jaribu, ni chapati nzuri na tamu kweli. Mie nilifundishwa na binti mmoja wa kitanga, aiseeh!!!
Mwanzo aliponiambia nilikuwa mgumu kuamini pia hadi nilipozipika. Damn!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikosea kutokurudia,ungejaribu tena na tena mwisho ungejua.Mkuu wacha nijifunze kupika chapati, maana ni moja ya vyakula ambavyo siwezi kuandaa. Nilijaribu zikatoka kama KAUKAU sikurudia tena.
Niletee na mie basi. Me natumia brand ya RS.Pompeian ndo fav brand yangu.
Inanogesha sana ladha. Hususan ile first cold press...
Alaa.Hakuna chapati laini vizuri kama inayomixiwa na maboga...niliwahi kula mahali flani kiukweli ni nzuri.
Nilielekezwa namna ya kupika kuwa ni hivi:-
-Unapika maboga kawaida kisha yakiiva unablend na maji ya uvuguvugu itakuwa kama siagi, baada ya muda mfupi unachanganya kwenye unga wa chapati kisha banika chapati zako.
Wallah...ni tamu na laini kwelikweli.
Yes, try it.Alaa.
Will try this
Mh FaizaFoxy mbona hapa kama nahisi nimepigwa dongo!??
But anyway tukiongelea generally. Nadhani unakosea ukisema hivyo. Inakuwa sawa na ile kuwapima wanyama wote kwa uwezo wao wa kukwea mti.
Mapishi ya vyakula yanaendana na mahali mtu alipoishi. Kumshangaa Msukuma (mfano tu) kwa kutokujua kupika chapati ni sawa na Mngoni kumshangaa Mchagga kwa kutokujua kupika pitiku!