Mapishi ya Chapati: Jikoni kwa Evelyn Salt & Mentor

Mapishi ya Chapati: Jikoni kwa Evelyn Salt & Mentor

Mhhhhhh hii ni kweli jamani?
Maboga kwenye chapatti?
Ngoja nitacheki na chef wangu nimuulize...nataka kujua mapishi mbalimbali na kwa ufasaha ili hubbie to be afurahie mapishi yangu always [emoji12]
Nifah jaribu, ni chapati nzuri na tamu kweli. Mie nilifundishwa na binti mmoja wa kitanga, aiseeh!!!
Mwanzo aliponiambia nilikuwa mgumu kuamini pia hadi nilipozipika. Damn!!!
 
chapati siwezi kula zaidi ya mbili sasa na huo muda wa kuziandaa yataka moyo,nitapika kwa kufuata hayo maelekezo kwa lengo la kujua tu
 
Mi chapati huwa zinanijaza tumbo [zinanifanya nijisikie nimeshiba mno] sana.

Hivi mpo mlio kama mimi?

Na kwa sababu hiyo huwa sizili mara kwa mara.

Kama zimepikwa na mafuta mengi zitakukinaisha haraka. Mimi niliambiwa nitumie hicho ki-brush kupakia mafuta inasaidia ku-control kiasi cha mafuta unachoweka tofauti na ukitumia kijiko.

Itakua hupendelei vitu vya mafuta ndio mana au samli inakukinaisha

Hivi samli ndo butter?

Hakuna chapati laini vizuri kama inayomixiwa na maboga...niliwahi kula mahali flani kiukweli ni nzuri.

Nilielekezwa namna ya kupika kuwa ni hivi:-

-Unapika maboga kawaida kisha yakiiva unablend na maji ya uvuguvugu itakuwa kama siagi, baada ya muda mfupi unachanganya kwenye unga wa chapati kisha banika chapati zako.

Wallah...ni tamu na laini kwelikweli.

Mh mkuu...hii recipe yako ni ngeni masikioni, machoni na mdomoni mwangu.

Ila nafurahi maana ndio umuhimu wa jukwaa hili. Learning new things kila siku. Hii nitamwomba wife anipikie siku moja.
CC; Evelyn Salt

Mhhhhhh hii ni kweli jamani?
Maboga kwenye chapatti?
Ngoja nitacheki na chef wangu nimuulize...nataka kujua mapishi mbalimbali na kwa ufasaha ili hubbie to be afurahie mapishi yangu always [emoji12]

Hivi Nifah bado hujaolewa weye?

Haiwezekani..halafu my bro RRONDO yupo single tu mpaka leo!??
 
Hivi vitu wengine ni majaaliwa, tumejikuta tunapika tu bila hata ya kufikiri.

Nnawashukuru sana wazazi wangu, walitufunda tukafundika bila hata ya kuhisi kuwa tunafundwa.

Hadi leo hii kuna watu Tanzania hii kuweza kupika chapati za chini ya kiwango ni mafanikio makubwa kwao!

AlhamduliLlah.
 
Ohooo hive ulishawahi kujiuliza kwanini wadada wazuri wote either wameolewa au una undugu nao!???
Mkuu wacha nijifunze kupika chapati, maana ni moja ya vyakula ambavyo siwezi kuandaa. Nilijaribu zikatoka kama KAUKAU sikurudia tena.
 
Hadi leo hii kuna watu Tanzania hii kuweza kupika chapati za chini ya kiwango ni mafanikio makubwa kwao!

AlhamduliLlah.

Mh FaizaFoxy mbona hapa kama nahisi nimepigwa dongo!??

But anyway tukiongelea generally. Nadhani unakosea ukisema hivyo. Inakuwa sawa na ile kuwapima wanyama wote kwa uwezo wao wa kukwea mti.

Mapishi ya vyakula yanaendana na mahali mtu alipoishi. Kumshangaa Msukuma (mfano tu) kwa kutokujua kupika chapati ni sawa na Mngoni kumshangaa Mchagga kwa kutokujua kupika pitiku!
 
Mkuu wacha nijifunze kupika chapati, maana ni moja ya vyakula ambavyo siwezi kuandaa. Nilijaribu zikatoka kama KAUKAU sikurudia tena.

Ukimaliza, jaribu pilau!
 
Hivi Nifah bado hujaolewa weye?

Haiwezekani..halafu my bro RRONDO yupo single tu mpaka leo!??

Nilikuwa namsubiri The bold [emoji4]

Hata kama asingekuwa The bold huyu RRONDO tusingewezana,tungeishia kupigana tu maana mimi nae ni wapinzani wakubwa.
Ndio siku Man U ichapwe nishangilie si atanitoa meno?And viceversa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu wacha nijifunze kupika chapati, maana ni moja ya vyakula ambavyo siwezi kuandaa. Nilijaribu zikatoka kama KAUKAU sikurudia tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikosea kutokurudia,ungejaribu tena na tena mwisho ungejua.

Hakuna ambaye hakutoa kaukau siku ya kwanza kupika chapatti tukiacha unafiki.
 
Pompeian ndo fav brand yangu.

Inanogesha sana ladha. Hususan ile first cold press...

550913fbac2f2-pompeian-extra-virgin-olive-oil-xl.jpg
Niletee na mie basi. Me natumia brand ya RS.
 
Hakuna chapati laini vizuri kama inayomixiwa na maboga...niliwahi kula mahali flani kiukweli ni nzuri.

Nilielekezwa namna ya kupika kuwa ni hivi:-

-Unapika maboga kawaida kisha yakiiva unablend na maji ya uvuguvugu itakuwa kama siagi, baada ya muda mfupi unachanganya kwenye unga wa chapati kisha banika chapati zako.

Wallah...ni tamu na laini kwelikweli.
Alaa.
Will try this
 
Mh FaizaFoxy mbona hapa kama nahisi nimepigwa dongo!??

But anyway tukiongelea generally. Nadhani unakosea ukisema hivyo. Inakuwa sawa na ile kuwapima wanyama wote kwa uwezo wao wa kukwea mti.

Mapishi ya vyakula yanaendana na mahali mtu alipoishi. Kumshangaa Msukuma (mfano tu) kwa kutokujua kupika chapati ni sawa na Mngoni kumshangaa Mchagga kwa kutokujua kupika pitiku!

Na ulipotaja wanawake kufundwa haukuongea "generally"?

Au?
 
Back
Top Bottom