Mapishi ya Chapati: Jikoni kwa Evelyn Salt & Mentor

Mapishi ya Chapati: Jikoni kwa Evelyn Salt & Mentor

kiukweli hizi chapati zilisha nishinda yani kutoa kiwango kabiisa...


don't give up mkuu!

ni vile nili-format memory card yangu ila wiki mbili zilizopita nilipika kituko. Nilishakata tamaa...but leo nikaamua I will not let one failure pull me down.

give it a try weekend hii. Nadhani (naamini) maelezo yangu yako poa na ni rahisi kufuata. Don't give up bro...
 
kwa kwer nitakuwa mteja wako chai maziwa na chapat 4 ahaaa magu akja kusikia break fast hii😛😛😛😀😀😀😀😀😳😳😳😳


ukiweza kumaliza chapati nne unaondoka bila kulipa! dah
 
Jifunze um-surprise my-husband-wako.



Mhh! Walisema kipimo cha mke bora basi ni mapishi yake ya chapati, sasa kama hujui kupika kabisa...sijuiiii!!!
Kwa hilo nimeshafeli kabisa hata kurudia haiwezekani daah
 
Duh punguza majivuni spinderella my dear,

Sote tunajifunza. Kuhusu origin ya chapati hata hao wa pwani walikopa kutoka kwa wahindi wakaiboresha.

Si vibaya mtu akiongeza a pinch of suga ama iliki vyote ni ili kuboresha chapati yako. Akiweka yai ama maziwa na ikatoka chapati bado sijaona lililoharibika. Hakuna definition moja ya chapati.




Basi nadhani ni sahihi kuhitimisha kuwa ubaridi/jotoridi la maji haliathiri chochote kwenye chapati yako ila ukandaji wako.

Nashukuru kwa hili.
Lol. Hiliki, mayai sijui maziwa hizo zitakuwa ni modified chapatis sio zile za asili. Kama kuweka chumvi kwenye maandazi pia haihusu[emoji3]
 
Lol. Hiliki, mayai sijui maziwa hizo zitakuwa ni modified chapatis sio zile za asili. Kama kuweka chumvi kwenye maandazi pia haihusu[emoji3]

nafurahi umetumia neno 'modified'


Mbona chapati yenyewe transparent sana...

duh mkuu..tupeane moyo tu! Ndiyo chapati yangu ya kwanza kuipika hiyo.

Hiyo ya maji baridi niliwahi kujaribu na chapati zinakuwa lainiii.

asante kwa uzoefu wako shemeji! Now I know...
 
napenda chapati
ulaini wa chapati upo.kwenye kukanda unga tu
maji moto maji baridi yote sawa


Hivi wife, na vili ule muda wa kuacha baada ya kukanda...unasaidia nini?
 
Jifunze um-surprise my-husband-wako.



Mhh! Walisema kipimo cha mke bora basi ni mapishi yake ya chapati, sasa kama hujui kupika kabisa...sijuiiii!!!
Whaaat!
Naanza kumkazia apike chapati
 
Ni sahihi swali lako. labda ambaye amewahi kupika chapati kwa kutumia maji baridi aje atueleze pia itatusaidia.

Cc: espy miss chagga Dinazarde Mkunde Original Nifah sister everlenk MziziMkavu Nyani Ngabu
Mimi daima hutumia maji baridi ktk mapishi ya chapati za kusukuma.

Na kuchomea nachomea samli sio mafuta ya kawaida...utaipenda.

Too bad siku hizi nimekuwa teja wa pancakes,hizi za kusukuma labda mara 1 baada ya miezi mitatu...teh

Mapishi mazuri na zaidi nimependa usafi,hongereni [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom