Mapishi ya donuts

Mapishi ya donuts

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Mahitajiiliki
chumvi
mafuta ya kupikia
maziwa(2cups)
unga wa ngano mags 3
siagi(40gr)
sukari(80gr)
hamira(10gr)
yai 1
chungwa 1


Sukari ya juu unaweza tumia njia mbili ya kwanza ni
icing sugar
maji
siagi au
unaweza tumia shira kama ya kaimati/visheti


Jinsi ya kutengeneza
Chukua unga vikombe vikubwa vitatu vya vya chai weka katika bakuli,weka chumvi,sukari kiasi itategemea na upendaji wako wa sukari,weka hamira ila hakikisha hamira na chumvi huviweki sehemu moja,weka iliki,vunja yai ,mimina maziwa katika unga unga,ila weka maziwa taratibu taratibu changanya unga wako.
ponda hadi pale utakapouona umekuwa mlaini,weka siagi yako,kanda tena hadi unapoona haukushiki mikononi,uache kama robo saa hivi.
sasa fuata maelekezo kama ya kwenye picha hapo chini.





















 
Back
Top Bottom