Mapishi ya kichina-Wings zilizopikwa na Coca Cola

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2016
Posts
202
Reaction score
145

Kwanza, weka wings ya kuku, tangawizi na vitunguu maji majini kwa dakika 15, halafu nawa wings kwa maji mapya

Pili, weka wings katika maji ya kuchemshwa mpaka rangi ya wings igeuze


Tatu, weka mafuta kidogo katika sufuria, wakati mafuta yamekuwa moto weka wings na kukaanga, wakati unapoona ngozi ya wings imekuwa invunja kufuata hatua nne


Nne, weka Coca Cola katika sufuria, tia maanani, kiasi ya Coca Cola bora kikazidi wings


Tano, ongeza michuzi ya soya, koroga pamoja


Sita, chemsha na kukoroga kwa moto ya kati ili wingis hazibandikani, wakati huo huo unatakiwa kuondoa povu ya Coca Cola

Saba, mwishowe tia chumvi, subiri kwa muda, wakati unapoona Coca Cola imeisha, weka wings katika sahani, ukamaliza hatua zote,ukaweza kujistarehesha!

 
ntajaribu hii kitu..... cocacola kias gan inahtajika...
 
Ngoja picha zifunguke alafu weka lugha unayodhamilia kila kitu kimfikie muhusika, (sasa wings ndo mdudu gani?) AU una maanisha wings - mbawa, sasa km n wings za nini aeroplane au kunguru?
 
inategemea , kama unapenda coca cola unaweza ongeza nyingi, kwa mfano, ukitaka mabawa manane, tia coca cola 500ml, naona inatosha..
Sawa chef nashukuru..... Ntaifanyia kaz
 
coca cola kiasi gani unaweka na hiyo soya
soya kwa kijiko nusu cha chai, na kiasi cha coca cola inategemea wewe, ukipenda unaweza kutia kama upendavyo, kwa mfano, ,mabawa tano coca cola 350ml inatosha....
 
Ngoja picha zifunguke alafu weka lugha unayodhamilia kila kitu kimfikie muhusika, (sasa wings ndo mdudu gani?) AU una maanisha wings - mbawa, sasa km n wings za nini aeroplane au kunguru?
Nakushukuru, asante, naona Chicken Wings utafahamu zaidi
 
hazifai kuliwa maana kokakola ukiipika ni sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…