Mapishi ya kichina-Wings zilizopikwa na Coca Cola

Hapa mwishoni umesema "tia chumvi subiri kwa muda wakati unapoona coca imeisha"...... ni inaisha kwa kuchemka sana au ni namna gani?
 
Tia chumvi, halafu subiri kwa muda,halafu baada ya muda,ukiona koka kola imeisha......
 
Back
Top Bottom