Mapishi ya Mchaganyiko wa kuku, brocolli, celery na mbogamboga

Mapishi ya Mchaganyiko wa kuku, brocolli, celery na mbogamboga

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
Mitahitaji

Kuku....kata vipande vipande

Celery

Brocolli

Carrot

Kitunguu maji

Nyanya....

Curry powder

Ndimu

Chumvi

Garlic

Tangawizi

Bizari ya pilau

Tandoor masala (au masala upendayo)....

Pilipili mboga

Namna ya kutaarisha

Weka kuku katika sufuria...tia tangawizi,saumu,pilipili manga na bizari ya pilau kaanga kdg then funika ichemke kwa maji yake wenyewe.....weka moto mdogo ili isiungue

Weka maji kdg kdg hadi kuwiva,kausha hadi ibaki supu kdg then add viaze na tandoor masala voache viazi viwive na kuku hadi vikauke kabisa......

Katika pan add mafuta then kaanga kitunguu,pilipili boga na saumu kwa dakika 5

Add nyanya hadi ziwive...

Weka celery na brocolli (usiache viwive kabisa vina taste vizuri vikiwiva half way)

Koroga vizuri mchanganyiko wako

Weka chumvi na ndimu (usiwe maji acha viwive wenyewe)

Add kuku wako na viazi ulivopika awali

Changanya na vegetable then epua

Tayar kwa kula
 
Very healthy meal. Mie napenda kublend baada ya hapo na kutumia kama starter.

asante mamito
 
Very healthy meal. Mie napenda kublend baada ya hapo na kutumia kama starter.

asante mamito

Yeah very health hapo unakatia na cucumber tu ili kupunga gesi kutoka kwenye broccoli ila unaweza weka tangawizi nyingi kiboko ya gesi
 
Attachments

  • 1407803593091.jpg
    1407803593091.jpg
    47.8 KB · Views: 341
  • 1407803612420.jpg
    1407803612420.jpg
    51.2 KB · Views: 369
  • 1407803668837.jpg
    1407803668837.jpg
    82.3 KB · Views: 325
Last edited by a moderator:
Hehehe, kumbe broccoli ndio mtambo wa haya mashuti? Napenda sana broccoli bwana. Mashuti hayaui, tangawizi nyingi itaharibu ladha lol
Yeah very health hapo unakatia na cucumber tu ili kupunga gesi kutoka kwenye broccoli ila unaweza weka tangawizi nyingi kiboko ya gesi
 
Hehehe, kumbe broccoli ndio mtambo wa haya mashuti? Napenda sana broccoli bwana. Mashuti hayaui, tangawizi nyingi itaharibu ladha lol

Tangawizi unaibalance kuanzia kuchemsha kuku...brocolli,onions wote hao jamaa wanapenda kufanya tumbo kuimba lol (gesi)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hehehe, kumbe broccoli ndio mtambo wa haya mashuti? Napenda sana broccoli bwana. Mashuti hayaui, tangawizi nyingi itaharibu ladha lol

Kujamba afya eti..kuna sehemu yani kujamba ka kupiga mwayo hakuna anaeshangaa, hata mwalim anafunza na anajamba tu na wanafunz hataa hawashtuki🙈
 
Kujamba afya eti..kuna sehemu yani kujamba ka kupiga mwayo hakuna anaeshangaa, hata mwalim anafunza na anajamba tu na wanafunz hataa hawashtuki🙈

Kitu uwende mbeu weee unaweza tukanwa matusi yote......

Mie inanikera ile tumbo kuimba basi......mfano jana nlikula fenesi tumbo lilijaa kama mna mtoto lol nlijuta
 
Mie siwezi kuuachia mbele za watu bwana. Nyaenda toilet lol. Ila nina rafiki ananyanyua mguu kabisa, akesha anashusha pumzi na kusema excuse me
Kujamba afya eti..kuna sehemu yani kujamba ka kupiga mwayo hakuna anaeshangaa, hata mwalim anafunza na anajamba tu na wanafunz hataa hawashtuki��
 
Tutalala tukifa. Hapa kazi ni kazi, kilimo kwanza kinazingatiwa. Kama wewe unalala kaka, imekula kwako. Halafu unajua mashuti ndio mwanzo wa maongezi? Unajua vicheko vinaishia wapi? Ngoja tupike tutaunguza mchuzi
Anakunyanyuwa mguu wako wakati wewe upo kwenye Neti khaa halali huyo shemaji yetu usiku huu?
 
Tutalala tukifa. Hapa kazi ni kazi, kilimo kwanza kinazingatiwa. Kama wewe unalala kaka, imekula kwako. Halafu unajua mashuti ndio mwanzo wa maongezi? Unajua vicheko vinaishia wapi? Ngoja tupike tutaunguza mchuzi
King'asti mchuzi saa hizi? Au daku lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom