Mapishi ya Mchaganyiko wa kuku, brocolli, celery na mbogamboga

Mapishi ya Mchaganyiko wa kuku, brocolli, celery na mbogamboga

farkhina nadhani hii unaweza kufanya substitution na kutumia pia nyama badala ya kuku, nayo itakuwa bomba sana tu. Ahsante kwa kushare maujuzi yako ya jikoni.
 
Last edited by a moderator:
hahaha, kutamka hata hilo neno ni aibu ujue? shauri yako, lol.
Erickb52 umepotea? nimekumbuka stori ya mashuti kwenye gari lol
Ni aibu kujamba hadharani, bora wende pembeni. Kasheshe ni ile uko peke yako unaliachia, afu mtu anaingia.
 
Last edited by a moderator:
farkhina nadhani hii unaweza kufanya substitution na kutumia pia nyama badala ya kuku, nayo itakuwa bomba sana tu. Ahsante kwa kushare maujuzi yako ya jikoni.

Yeah unaweza....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom