haaaa husahau wewe?...halafu ukaona unijaze mimate kabisa na kachumbari na pilipili hio :A S-eek:
Hahahaha sisahau nalipiza na maandazi pia kwani umeninyima vingi ati
ntakupa vyote we nipe hizo ndizi tu!
na glasi ya maziwa yereee uwii ni sheeedah kudos dadaa..:A S wink:
Hii safi Sana...napenda kula with avocado ..
Thanks mamy hii ndio huwa menu yangu ya weekend Jmos au Jpili
Nikimalizia nashushia na wine Kidogo
Burudani tosha
Mi pilipili mbuzi huwa naikatia humohumo basi inanogaje!!Pilipili mbuzi pembeni, muhimu sana hiyo.
Mhhh, Natamani kuzigeuze kutoka picha kuwa kweli, hadi njaa imeuma ghafla.
hahaha mi ndo najisevia hapa karibu
asantee, mi hii kitu napenda mno, tena utumbo nisipunjwe, shukran
Umeona eeeh?