Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Chemsha mchele, weka maji zaidi ya yale unayopikia wali, acha uchemke taratibu kwa jiko la imeme unaweza kuweka moto number nne. Baada ya dakika 20 zima jiko.
Chukua bakuli la kuchanganyia, toa paws tatu za mchele uziweke kwenye bakuli pamoja na maji maji kiasi. Chukua blender ya mkono saga Michele huu kwenye bakuli mpaka uwe uji mzito na laini.
Rudisha kwenye sufuria uchanganye na mchele uliobakisha mwanzo. Weka tui la nazi mpaka uridhike na uzito unaoutaka. Weka nutmeg. Washa jiko acha uji uchemke kwa dakika kumi kwa moto 2.
Ukiiva weka sukari na chumvi kidogo sana, uji uko tayari kumywewa.
Hii ni kwa robo kilo ya mchele.