Mapishi ya vyombo vya kielectronics. Kiafya haileti madhara?

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Habiri zenu Doctorz?
Naombeni kujuzwa juu ya utata unaonitawala ktk ulaji wa vyakula vilivyopikwa kwa electronic equipments i.e Microwaves, RiceCooker, Kettle etc.
Je, kwa upande wa afya, kweli kuna usalama ukilinganisha na msosi uliopikwa kwa sufuria na mkaa au gas?
#Doctor samahani lakini, tusaidie ma-bachelor coz we live on eating this kind of food due to matter of time consuming.
 
Hapo yenye utata kidogo ni microwave. Majiko hayo mengine hutumia umeme kutoa joto linaloivisha chakula, na hii haina tabu.

Lakini microwave hutoa mawimbi (waves) ambayo hutikisa sana molecule za chakula - na huo mtikisiko na msuguano miongoni mwa molecule hizo hufanya zipate joto.

Sasa kuna dhana kwamba jinsi hiyo ya kupasha joto chakula huweza kuathiri baadhi ya vyakula. Pia baadhi ya vyombo (hasa plastics) vinauwezekano wa kudisolve katika chakula (japo kwa mbali) vikishapata hiyo nguvu ya mawimbi.

Ushauri wangu kwako
(1) Fuata sana maagizo ya watengenezaji kuhusu matumizi ya jiko la microwave;
(2) Jitahidi kutumia vyombo vya glasi au melamine tu ndani ya microwave. Sio plastics;
(3) Kila usipokuwa na haraka/ulazima wa kutumia jiko hili - acha na tumia majiko mengine.
 
Ninakila sababu ya kusema nimekuelewa brother, nimezingatia ushauri. UlakezeChane!
 
Back
Top Bottom