Mapokezi makubwa ya kamanda mwenzetu Lissu jijini Kahama

Mapokezi makubwa ya kamanda mwenzetu Lissu jijini Kahama

Watu wanakuja kumshangaa kichaa Lisu, kwenye hotuba zake hazungumzii ajira Wala uchumi
 
Watu wanakuja kumshangaa kichaa Lisu, kwenye hotuba zake hazungumzii ajira Wala uchumi
Punguza dharau. Unaita watu vichaa kisa sio CCM . Halafu mmeichagua CCM kuanzia Mwenyekiti wa mtaa, diwani, mbunge,mpaka Rais, lakini mnamtegemea Lissu ndio aongelee ajira na uchumi. Wakati bungeni mmejaza wanaccm wenye mamlaka ya kushughulikia uchumi.
 
Back
Top Bottom