Punguza dharau. Unaita watu vichaa kisa sio CCM . Halafu mmeichagua CCM kuanzia Mwenyekiti wa mtaa, diwani, mbunge,mpaka Rais, lakini mnamtegemea Lissu ndio aongelee ajira na uchumi. Wakati bungeni mmejaza wanaccm wenye mamlaka ya kushughulikia uchumi.