Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anatarajia kuwasili kijijini kwao Ikungi Tarehe 15/02/2025.
Lengo la ziara hiyo haikusemwa, bali inafahamika kote duniani kwamba hakuna anayewekewa masharti ya kwenda nyumbani kwao kusalimia Wazee.
Japo Taarifa nilizopenyezewa zinadokeza kwamba Lissu atakutana na Wazee wa kwao kwa lengo la kuchota Busara zao, hasa baada ya kupewa Madaraka ya Juu kabisa kwenye Chama chake.