Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Msipokuwa makini hiki Chama kitageuka kuwa kituko kinaishia kufanya mikutano Airport, Ikungi na Makao makuu Kama wale wale wahuni zambarau wanafanyia siasa zao za masuala Tunduru -Pemba na Ujiji halafu wanaingia Twitter kutwit wamejipanga kuongoza nchi.View attachment 3223501
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anatarajia kuwasili kijijini kwao Ikungi Tarehe 15/02/2025.
Lengo la ziara hiyo haikusemwa, bali inafahamika kote duniani kwamba hakuna anayewekewa masharti ya kwenda nyumbani kwao kusalimia Wazee.
Japo Taarifa nilizopenyezewa zinadokeza kwamba Lissu atakutana na Wazee wa kwao kwa lengo la kuchota Busara zao, hasa baada ya kupewa Madaraka ya Juu kabisa kwenye Chama chake.
Nchi ina vituko sana hii
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app