Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
View attachment 3223501
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anatarajia kuwasili kijijini kwao Ikungi Tarehe 15/02/2025.
Lengo la ziara hiyo haikusemwa, bali inafahamika kote duniani kwamba hakuna anayewekewa masharti ya kwenda nyumbani kwao kusalimia Wazee.
Japo Taarifa nilizopenyezewa zinadokeza kwamba Lissu atakutana na Wazee wa kwao kwa lengo la kuchota Busara zao, hasa baada ya kupewa Madaraka ya Juu kabisa kwenye Chama chake.
Ukubwa wa Mapokezi ni pale kijiji kizima kinapokuja kukupokea, hata kama wako 20 tuIkungi ni kijiji kidogo sana na hakina ushawishi wowote..
Hii ngoma angetakiwa aijaze Uwanja wa Namfua...
Organization na political mileage namna gani pale
?Hii nayo ni habari? Inatuhusu nini.View attachment 3223501
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anatarajia kuwasili kijijini kwao Ikungi Tarehe 15/02/2025.
Lengo la ziara hiyo haikusemwa, bali inafahamika kote duniani kwamba hakuna anayewekewa masharti ya kwenda nyumbani kwao kusalimia Wazee.
Japo Taarifa nilizopenyezewa zinadokeza kwamba Lissu atakutana na Wazee wa kwao kwa lengo la kuchota Busara zao, hasa baada ya kupewa Madaraka ya Juu kabisa kwenye Chama chake.
Joined December 28/2024hii nayo ni habari
?Hii nayo ni habari? Inatuhusu nini.
Kama haikuhusu mbona umeisoma na kucomment? Ukiona jambo halikuhusu unapotezea tuhii nayo ni habari
?Hii nayo ni habari? Inatuhusu nini.
😆😆😆😆Kama haikuhusu mbona umeisoma na kucomment? Ukiona jambo halikuhusu unapotezea tu
Utamsikia kamanda wa polisi mkoa akihutubia hivi punde kutahadharisha hali ya hatari na kuzuia mapokezi au shughuli zozote za kisiasa.View attachment 3223501
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anatarajia kuwasili kijijini kwao Ikungi Tarehe 15/02/2025.
Lengo la ziara hiyo haikusemwa, bali inafahamika kote duniani kwamba hakuna anayewekewa masharti ya kwenda nyumbani kwao kusalimia Wazee.
Japo Taarifa nilizopenyezewa zinadokeza kwamba Lissu atakutana na Wazee wa kwao kwa lengo la kuchota Busara zao, hasa baada ya kupewa Madaraka ya Juu kabisa kwenye Chama chake.
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama wajinga.Kimsingi hii ni pigo kubwaaaa sana pale kwa majirani maana media zote zitamulika Ikungi. Na Ikungi itatambulika dunia nzima ✌️✌️✌️
Cde naona roho imekupasuka si unakumbuka uchaguzi wa CHADEMA Taifa ulivyofaana?Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama wajinga.
Ni pesa yake tu kujiandalia mapokeziView attachment 3223501
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anatarajia kuwasili kijijini kwao Ikungi Tarehe 15/02/2025.
Lengo la ziara hiyo haikusemwa, bali inafahamika kote duniani kwamba hakuna anayewekewa masharti ya kwenda nyumbani kwao kusalimia Wazee.
Japo Taarifa nilizopenyezewa zinadokeza kwamba Lissu atakutana na Wazee wa kwao kwa lengo la kuchota Busara zao, hasa baada ya kupewa Madaraka ya Juu kabisa kwenye Chama chake.
Nitakuwepooo. ..peopleeeessssView attachment 3223501
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anatarajia kuwasili kijijini kwao Ikungi Tarehe 15/02/2025.
Lengo la ziara hiyo haikusemwa, bali inafahamika kote duniani kwamba hakuna anayewekewa masharti ya kwenda nyumbani kwao kusalimia Wazee.
Japo Taarifa nilizopenyezewa zinadokeza kwamba Lissu atakutana na Wazee wa kwao kwa lengo la kuchota Busara zao, hasa baada ya kupewa Madaraka ya Juu kabisa kwenye Chama chake.
Mwambieni Lisu bila pesa watu hawatoki mapokezi hawali mapokeziUkubwa wa Mapokezi ni pale kijiji kizima kinapokuja kukupokea, hata kama wako 20 tu
Hakuna mtu muongo na mnafiki kama LisuMapokezi makubwa Ikungi? 🐼
Chato na Kizimkazi mnapiga kelele kama zote 😀😀