OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii ndio maana halisi ya Utopolo La Deportivo. Kama kilabu cha ndondo. Leo hii kimyaaaaa.
Wazazi tujitahidi watoto wetu wasiishie kuwa Utopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu sana kuacha kufuatilia mambo ya aibu na ajabu yanayofanywa na Yanga.Wewe kimekuuma kipi? Kufatilia yasiyokuhusu ni dalili mbaya, kazi ya umbea tuachie wanawake maana ndio wenye fani zao
Mi namkumbuka Rage, kwamba washabiki wa Simba ni mambumbumbu.Ntamkumbuka sana yule kocha wao. Lucy Eymel, hakika hakukosea.
Manyani ni utopolo kweli.
.Ntamkumbuka sana yule kocha wao...Lucy Eymel....hakika hakukosea....
Manyani ni utopolo kweli.....
Shika lako.Huyo mkata mauno wao calinyos kaishia wapi.
Eti yule mcheza kibao kata kalinyos,yuko wapi cku izi?Shika lako.