Mapokezi makubwa ya Yanga kwa Carlinhos nalo likapita

Mapokezi makubwa ya Yanga kwa Carlinhos nalo likapita

Wewe kimekuuma kipi? Kufatilia yasiyokuhusu ni dalili mbaya, kazi ya umbea tuachie wanawake maana ndio wenye fani zao
 
Wewe kimekuuma kipi? Kufatilia yasiyokuhusu ni dalili mbaya, kazi ya umbea tuachie wanawake maana ndio wenye fani zao
Ni ngumu sana kuacha kufuatilia mambo ya aibu na ajabu yanayofanywa na Yanga.

ningekuwa na uwezo timu za kimataifa zikija ningekuwa nawaficha galani fans wa Yanga nchi isipate aibu
 
Ntamkumbuka sana yule kocha wao...Lucy Eymel....hakika hakukosea....

Manyani ni utopolo kweli.....
.
FB_IMG_1598022191549.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom