Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
mkuu mahakama ndiyo inayoamua siyo magazeti.wako Huru.I wish niwe hitman ghhafla... maana hata mie nimechoka sasa
Nimepata taharifa kutoka kwa mtu wa karibu na Agnes masogange kuwa wanaandaa mapokezi makubwa airport ya kuwapokea ,kinachosubiriwa sasa ni Tarehe rasmi ya kuja,pia ikitangazwa mnaombwa kuja uwanja wa ndege kuwapokea
Money Stunna hiyo habari umeitoa wapi?
wanakuja huku kufanya nini wakati case haija kwisha?
hii mbona kama habari mpya?
7
wale wako nje kwa dhamana na uchunguzi unaendelea kule kule.
bila shaka hawaruhusiwi kutoka nje ya south africa.
Nimepata taharifa kutoka kwa mtu wa karibu na Agnes masogange kuwa wanaandaa mapokezi makubwa airport ya kuwapokea ,kinachosubiriwa sasa ni Tarehe rasmi ya kuja,pia ikitangazwa mnaombwa kuja uwanja wa ndege kuwapokea
na waliofukuzwa kazi kwa hiyo skendo warudishwe KazinHili ni fundisho kwa viongozi wapenda sifa kuacha kukurupuka
Money StunnaMkuu kesi imeisha. Mahakama imesema walibeba chemical ,wametozwa fine ya million 4.8 Tshs washalipiwa nusu. Hivo zikilipwa nyingine nusu wanaruhusiwa kurudi tz
.mwakyembe alikurupuka kufukuza watu kazi
Money Stunna
lini ilikuwa hearing ya mwisho kwenye case hii? hipi ni source yako ya habari? ikiwezekana nipe link.
hiyo fine wamelipiwa na nani?
Na hiyo chemical walio beba inaitwaje?
Sasa kama hawajamaliza fine kama ulivyosema inakuwaje wawe huru?
Fungua www.mwananchi.co.tz/habari/kitaifa/masogange-aachiwa-huruMoney Stunna
lini ilikuwa hearing ya mwisho kwenye case hii? hipi ni source yako ya habari? ikiwezekana nipe link.
hiyo fine wamelipiwa na nani?
Na hiyo chemical walio beba inaitwaje?
Sasa kama hawajamaliza fine kama ulivyosema inakuwaje wawe huru?
Mambo za dhamana aikuwa kweli .wameshinda kesi ila wametozwa fine tu kwa kubeba chemical.mmh ama kwl kaz ipo,2wapokee wa kaz gn hao mapunda,na ni nan hasa??.by de way case haijaisha wako nje kw dhaman na hawaruhusiwe kutoka nje ya south
Wametoka ila hawawezi kuja nchini kwasababu aliyewashikia mdhamana hajamalizia kiasi alichotakiwa atoe. Faini ilikuwa ni 4.8 million. Kwahiyo katoa nusu.