Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Money Stunna
lini ilikuwa hearing ya mwisho kwenye case hii? hipi ni source yako ya habari? ikiwezekana nipe link.
hiyo fine wamelipiwa na nani?
Na hiyo chemical walio beba inaitwaje?
Sasa kama hawajamaliza fine kama ulivyosema inakuwaje wawe huru?
mkuu jipatie gazeti la mwananchi la jana jumamosi. habari hii ndio iliyopewa uzito wa juu. ni kweli masogange tu amepatikana na hatia ya kuingiza hiyo kemikali na alihukumiwa miaka minne au faini ya milion nne na kidogo. lakini yule mwenzie ameonekana hana hatia kabisa bali alimsaidia masogange kubeba yale mabegi tu na hawakuwa safari moja, hivyo mdhamini wa masogange amelipa nusu ya fedha hizo na zingine atamalizia . ila masogange amezuiwa kuondoka south Africa hadi pesa imalizwe.