Mapokezi makubwa yanaandaliwa kuwapokea Agnes masogange na ndugu yake, mnaombwa kuwepo airport

Mapokezi makubwa yanaandaliwa kuwapokea Agnes masogange na ndugu yake, mnaombwa kuwepo airport

Money Stunna
lini ilikuwa hearing ya mwisho kwenye case hii? hipi ni source yako ya habari? ikiwezekana nipe link.

hiyo fine wamelipiwa na nani?
Na hiyo chemical walio beba inaitwaje?

Sasa kama hawajamaliza fine kama ulivyosema inakuwaje wawe huru?

mkuu jipatie gazeti la mwananchi la jana jumamosi. habari hii ndio iliyopewa uzito wa juu. ni kweli masogange tu amepatikana na hatia ya kuingiza hiyo kemikali na alihukumiwa miaka minne au faini ya milion nne na kidogo. lakini yule mwenzie ameonekana hana hatia kabisa bali alimsaidia masogange kubeba yale mabegi tu na hawakuwa safari moja, hivyo mdhamini wa masogange amelipa nusu ya fedha hizo na zingine atamalizia . ila masogange amezuiwa kuondoka south Africa hadi pesa imalizwe.
 
Nimepata taharifa kutoka kwa mtu wa karibu na Agnes masogange kuwa wanaandaa mapokezi makubwa airport ya kuwapokea ,kinachosubiriwa sasa ni Tarehe rasmi ya kuja,pia ikitangazwa mnaombwa kuja uwanja wa ndege kuwapokea

kwamba ni shujaa au? Wote watakaoenda wakamatwe watakuwa wanajua siri nyini za biashara hii halamu
 
Aisee hii ndio Tanzania,mtapokea hadi ma al shabab
 
Wauaji wako uraiani, wauza sembe nao pia waachiwa huru sasa kweli rules ard meant to be broken....kwanini zinawekwa at first place?
 
Mungu anisaidie niende land of opportunity nadhani ntajiona na mimi binadamu hapa wote 2naonekana manjegeka 2
 
Bora Wangemkamatia China Lazma angenyongwa Huyo Punda
 
Back
Top Bottom