Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Jesca Kishoa amefika katika Kata ya Nkalakala Wilayani Mkalama Mkoani Singida na kufanya mkutano wa hadhara na wananchi pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Kishoa amewasili katika mkutano huo leo tarehe 16 Februari, 2025 huku akiwa amevalia vazi lenye rangi ya kijani, sambamba na kusindikizwa na nyimbo zinazokiimba Chama cha Mapinduzi CCM