Pre GE2025 Mapokezi ya Jesca Kishoa kwa wananchi Kata ya Nkalakala akiwa na vazi la kijani na kusindikizwa na nyimbo za CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
anasikiliza kero za wananchi ambazo zimeletwa na chama gani!?🤣🤣🤣🤣
 
mapokezi makubwa kuliko mwenyekiti mpya wa chadema dah
 
Anapokewa Kishoa lakini anaesifiwa ni Samia? Huyu mume wake ni yule wa PPP? Insemekana Esther Matiko nae wala hajifichi kuwa mapenzi yamehamia upande wa pili.

Amandla...
 
Huyu mama dogo msaliti sana, kipindi hicho mumewe Kafulila alihamia CCM akamind sana mpaka akaacha tumia jina la Kafulila na kuachana naye. Wabebaki kulea watoto.
Mtoto mdogo huyo wa 89 hana umama wowote, kanenepeana hovyo anazidiwa umri na Jokate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…