Mapokezi ya Kylian Mbappe nchini Cameroon usipime

Mapokezi ya Kylian Mbappe nchini Cameroon usipime

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Mchezaji wa Kimataifa wa Ufaransa na Timu ya PSG KYLLIAN MBAPE amewasili nchini Cameroon kwa ziara ya siku tatu. Apata mshangao mkubwa kwa maelfu ya watu waliojitokeza kumpokea Airport.

Mbape ameongozana na baba yake mzazi na akiwa nchini humo anatarajiwa kucheza mchezo mmoja wa kirafiki na akiwa na timu moja ya nchini humo.
 
Walimtosa saiv kapendeza kawaka wanampokea kama mfalme. Africa tuna mabalaa yetu
 
Back
Top Bottom