Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Wadau mapokezi ya tozo za benki kwa wananchi yamepokelewa kwa namna tofauti, hivi sasa tunavyozungumza wapo baadhi ya wananchi wameshasafisha account zao za benki na kupeleka fedha zao kusikojulikana na kuacha account zao nyeupe kabisa wakihofia lambalamba.