Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Bank ndipo roho za wananchi zilipo, unapozigusa tegemea wengine kufariki kwasababu pesa zinapatikana kwa uchngu mkubwa leo hii uniguse nitapona kweli?Ni vizuri hela zikaifadhiwe hata kwenye safe za nyumbani kuliko wizi wa kipuuzi wa tozo
Ni vilio kil konaBank ndipo roho za wananchi zilipo, unapozigusa tegemea wengine kufariki kwasababu pesa zinapatikana kwa uchngu mkubwa leo hii uniguse nitapona kweli?
Kitale likes thisπVibaka wanafurahia habari hii
Sisi tunafanya kazi bank tunaona jinsi wateja wanakuja kufagia account zao tangu juziHata mimi baadaye naenda kukomba ka akiba kote kalikobaki. Akaunti nyingine wacha tu zibakie domant. Kiukweli sitarajii kuacha hata 100!
Huu ni zaidi ya ujangili aseeNi vizuri hela zikaifadhiwe hata kwenye safe za nyumbani kuliko wizi wa kipuuzi wa tozo
Leo nimeenda CRDB bank, nimeshangaa. Nilikuwa na haraka, nikawa na wasiwasi nitachelewa kwa sababu ya foleni ambayo wakati wote nimeishuhudia. Lakini nilipoingia, nimeshangaa, hakuna wateja. Nilisubiria tu mtu mmoja mbele yangu, kisha nikaingia, nikatoa kiasi nilichotaka. Ndani ya fakika 15, kila kitu kilikuwa kimeisha.Wadau mapokezi ya tozo za benk kwa wananchi yamepokelewa kwa namna tofauti, hivi sasa tunavyozungumza wapo baadhi ya wananchi wameshasafisha account zao za benk na kupeleka fedha zao kusikojulikana na kuacha account zao nyeupe kabisa wakihofia lambalamba.
Mimi nafanya kazi benk ya fulani tangu juzi Withdrawal zimekuwa kubwa sana, mtu ana million 5 kwenye account ana draw million nne laki nane, na sio mmoja, kasi ya withdrawal imeongezeka sana, wapo wateja wamekuja kukomba zote, mtu ana million 50 anachukua zoteLeo nimeenda CRDB bank, nimeshangaa. Nilikuwa na haraka, nikawa na wasiwasi nitachelewa kwa sababu ya foleni ambayo wakati wote nimeishuhudia. Lakini nilipoingia, nimeshangaa, hakuna wateja. Nilisubiria tu mtu mmoja mbele yangu, kisha nikaingia, nikatoa kiasi nilichotaka. Ndani ya fakika 15, kila kitu kilikuwa kimeisha.
Sijui kama ni sababu ya tozo au ni sababu ya sensa (watu wapo majumbani wanasubiria kuhesabiwa). Kadiri siku zitakavyoenda, tutajua effect ya tozo, ka ipo.
Ndo dawa Yao Hawa wahuni aiseeNaenda kwa muajiri ikiwezekana nikipwe mkononi....potelea mbali