Mapokezi ya Mbowe Jimboni Hai yadoda, CHADEMA yaahidi kugawa nyama Kama motisha Kwa wahudhuriaji

Ninyi vijana wa ccm mnashindana na mtu ambaye hamtamuweza hata kidogo...Jiwe na ujinga wake bado alishindwa kupambana na Mbowe sembuse ninyi vitakataka!!!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Very soon there will be several annexes for the purpose of this level of actual political support Mbowe receives in Hai constituency and the imaginary support non-Hai constituents and well wishers, particularly Chadema members and followers would like that support Mbowe were ought to receive in Hai.
 
18 March 2022

Machame, Kilimanjaro

MAANDALIZI YA KUMPOKEA MHE FREEMAN MBOWE MACHAME, NGOMBE 6 KWA AJILI YA SHUGHULI WATOLEWA

Maandalizi mazito hapa Machame Kilimanjaro huku wazee wametoa ngombe kwa ajili ya shughuli ya kumkaribisha mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Aikaeli Mbowe ambaye ametoka mahabusu hivi karibuni baada ya kesi namba 16 ya mwaka 2021 iliyokuwa inamkabili yeye na walinzi wake watatu kufutwa na DPP kwa kuwasilisha hati ya Nolle prosequi kuwa Jamhuri haina nia ya kuendelea na kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa ktk Mahakama Kuu Maalum Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi hiyo ilikuwa ya tuhuma za Ugaidi.
Very soon there will be several annexes for the purpose of this level of actual political support Mbowe receives in Hai constituency and the imaginary support non-Hai constituents and well wishers, particularly Chadema members and followers would like that support Mbowe were ought to receive in Hai.
 
MAPOKEZI YA MBOWE HAI YA DODA, WANANCHI WASUSIA, CHADEMA YATANGAZA KUGAWA NYAMA KWA KILA MHUDHURIAJI

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mapokezi ya ujio wa aliewahi kuwa Mbunge wa Hai ndugu Mbowe yameingia dosari baada ya wananchi wengi kuonesha kutokuwa na munkari nae tena kama zamani, hii inachagizwa na uchapakazi wa Mbunge Mpya Saashisha Mafuwe ambae amekuwa akijikita katika kupigania maslahi ya maendeleo ya wananchi wa Hai na kuweka pembeni masuala ya uhasama wa kisiasa.

Mapokezi ya Mbowe yameingia upweke baada ya kuzuka taarifa za uwepo wa fujo za vijana wa bavicha waliokodiwa kutoka mara, Arusha na Moshi, taarifa zilizotapakaa katika viunga vya mji wa bomang'ombe ni ujio wa vikosi vya fujo na matusi kutoka mikoani ili kujaza mapokezi hayo ili kuudanganya umma wa watanzania kuwa Mbowe Bado anapendwa.

Wananchi wengi wamechukizwa na tabia ya Chadema kuhatarisha amani Kisha kujivika ngozi ya kondoo kuwa wanaonewa.

Katika hatua nyingine viongozi wa chama hicho wakiongozwa na Simon Mnyampanda wamekuwa wakipita katika makazi ya watu na kuwaahidi kuwa Kila atakaehudhuria mkutano huo atapatiwa nyama robo kilo, jambo ambalo limepingwa vikali na wananchi wa Hai wakisema wao wanataka hai yenye utulivu na maendeleo hasa kipindi hiki ambacho miradi mingi imefanyika Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge Saashisha Mafuwe.

Rai Yangu Kwa Chadema ni kuwa hii ni ishara ya kuishiwa hoja za ushawishi na kutumia nyama, watu wa Hai wameelimika hawawezi kudanganyika Kwa nyama Wala kisusio.View attachment 2155753

Kwendraaaaaa fisi wewe, mbowe ni mwanaume haswaaaaa we kama humtaki kwenda zako hukoooooo mbuchi wewe
 
Robo kilo ya nyama?! Duh?! Kweli CHADEMA wamekwisha kabisa…
 
Nyama robo kilo! Wewe hata kipimo haukijui, robo kilo ni sawa na mshikaki mmoja, utaanzaje kumpa mtu! Hebu rekebisha iwe kilo moja.
 
jiandae mzee siku ikifika ukapige msosi ili usilale njaa kama siku zingine
 
Tangu Mbowe atoke mahabusu na kwenda ikulu kuonana na mwenyekiti wako wa chama basi umepatwa na hofu sana
 
Vita vya baridi.....subiri Hadi mwisho ndipo uandike
 
MAPOKEZI YA MBOWE HAI YA DODA, WANANCHI WASUSIA, CHADEMA YATANGAZA KUGAWA NYAMA KWA KILA MHUDHURIAJI

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mapokezi ya ujio wa aliewahi kuwa Mbunge wa Hai ndugu Mbowe yameingia dosari baada ya wananchi wengi kuonesha kutokuwa na munkari nae tena kama zamani, hii inachagizwa na uchapakazi wa Mbunge Mpya Saashisha Mafuwe ambae amekuwa akijikita katika kupigania maslahi ya maendeleo ya wananchi wa Hai na kuweka pembeni masuala ya uhasama wa kisiasa.

Mapokezi ya Mbowe yameingia upweke baada ya kuzuka taarifa za uwepo wa fujo za vijana wa bavicha waliokodiwa kutoka mara, Arusha na Moshi, taarifa zilizotapakaa katika viunga vya mji wa bomang'ombe ni ujio wa vikosi vya fujo na matusi kutoka mikoani ili kujaza mapokezi hayo ili kuudanganya umma wa watanzania kuwa Mbowe Bado anapendwa.

Wananchi wengi wamechukizwa na tabia ya Chadema kuhatarisha amani Kisha kujivika ngozi ya kondoo kuwa wanaonewa.

Katika hatua nyingine viongozi wa chama hicho wakiongozwa na Simon Mnyampanda wamekuwa wakipita katika makazi ya watu na kuwaahidi kuwa Kila atakaehudhuria mkutano huo atapatiwa nyama robo kilo, jambo ambalo limepingwa vikali na wananchi wa Hai wakisema wao wanataka hai yenye utulivu na maendeleo hasa kipindi hiki ambacho miradi mingi imefanyika Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge Saashisha Mafuwe.

Rai Yangu Kwa Chadema ni kuwa hii ni ishara ya kuishiwa hoja za ushawishi na kutumia nyama, watu wa Hai wameelimika hawawezi kudanganyika Kwa nyama Wala kisusio.View attachment 2155753
Wivu wa kike huo utakuua
 
Bila kumwandika mwanaume wenu mnalala njaa lumumba yote.
 
Mapokezi ya Mbowe yameingia upweke baada ya kuzuka taarifa za uwepo wa fujo za vijana wa bavicha waliokodiwa kutoka mara, Arusha na Moshi, taarifa zilizotapakaa katika viunga vya mji wa bomang'ombe ni ujio wa vikosi vya fujo na matusi kutoka mikoani ili kujaza mapokezi hayo ili kuudanganya umma wa watanzania kuwa Mbowe Bado anapendwa.
Nakushauri uwer unatumia kichwa kufikiri nini cha kuandika badala ya kutumia ile kitu 'inayoegeshwa' wash room!
Bahati nyingine mbaya uliyonayo ni uwezo wako wa kufikiri na kujenga hoja ni mdogo kuku wa kienyeji ana nafuu!
 
Kutakua na fitna za mkuu wa mkao na kamati yake ya ulinzi kupitia serikali za mitaa...
 
Mleta mada sio poa kuleta uongo ambao hautakusaidia wewe hata mumeo.
Wewe upo Hai au upo Karomije?
 
Mimi ni mwanaCCM ila kusema kwamba huyu mbunge Saashisha Mafuwe yuko vizuri napinga kwa 100%.

Mbowe anakubalika na kila mtu huko Hai hata kabla ya kugombea ubunge.

Akiwa mwananchi tu wa kawaida.
 
Mama hapendi Wabara acha kujipendekeza wewe mbwiga
 
Back
Top Bottom