Mikutano ya CCM bila fiesta CCM hawaendi watu, CCM bila wasanii wa miziki hakuna mtu atakwenda huko kuwasikiliza..mimi sijasema mikutano ya Jiwe haina nyomi.
..nimesema Jiwe hana hoja za kuwashawishi wanaohudhuria mikutano yake.
..mara nyingi Jiwe hutumia lugha za matusi, na kauli za karaha, ktk mikutano yake.
Mwaka 2020 ni mwaka mwingine ni mwaka ambao tekinologia imebadilika watu wamepevuka acha kufananisha watu hao na moto wa Tundu lisu ambao wapiga kura wameukubali tokea moyoni baada ya mateso ya CCM kwa miaka mitanoKatika uzoefu wangu kwenye uchaguzi hali ile ya 1995 haitatokea tena...AugustinoLyatongaMrema alikuwa anakusanya maelfu kwa maelfu kwenye mikutano yake...at the end of the day nadhani alipata almost 30 per cent or less than that...Lissu?!? He won't score more than 18 per cent...
Ana nafasi nchi gani?Comrade hakuna kipindi chadema mlikua na nguvu kama mwaka 2015 kipindi kile tulipata kazi sana kumnadi Magufuli nakumbuka vizuri sana jinsi mafuriko ya lowassa yalivyotusumbua.
Lissu hana nguvu kumzidi lowassa, kampeni imekua rahisi sana na tutampiga mapema sana. Hana nafasi katika nchi hii.
Duh...Moto wa Tundu Lissu?! Ok tusubiriMwaka 2020 ni mwaka mwingine ni mwaka ambao tekinologia imebadilika watu wamepevuka acha kufananisha watu hao na moto wa Tundu lisu ambao wapiga kura wameukubali tokea moyoni baada ya mateso ya CCM kwa miaka mitano
CCM husomba watu wanafunzi kwa nguvu kuwapeleka mikutanoniUkiangalia kwa makini hii mikutano ya hivi vyama vikubwa Kila Mgombea akienda anapata wahudhuriaji karibia sawa na mwingine. Hii inamaana kuwa, kuna kundi kubwa la watu linahudhuria mikutano yote....
Nafikiri Ushindi utategemea zaidi WAJUMBE!!!!!
Aibu ipi? Hata kama unasaka uteuzi sidhani kama mtukufu mwenyekiti wa CCM atakupa uteuzi kwani kagundua hujuia hata kumtetea kihalisiaAisee chadema hadi aibu..
Hivi Lisu atashinda urais wa wapi?
Twitter kwa kigogo ama?
Endelea kuishi kwa kukariri. Mwambie Jiwe achote hela za kutosha Kama Al Bashir maana hapo October 28 atatujua hasa watanzania ni kina naniKatika uzoefu wangu kwenye uchaguzi hali ile ya 1995 haitatokea tena...AugustinoLyatongaMrema alikuwa anakusanya maelfu kwa maelfu kwenye mikutano yake...at the end of the day nadhani alipata almost 30 per cent or less than that...Lissu?!? He won't score more than 18 per cent...
Mji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo
Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama Cha aina yoyote ile kutokea tangu miongo kadhaa iliyopita.
DuhEndelea kuishi kwa kukariri. Mwambie Jiwe achote hela za kutosha Kama Al Bashir maana hapo October 28 atatujua hasa watanzania ni kina nani
Nyomi la wanafunzi?Watu mnajidanganya Sana, mpaka sasa hakuna chama cha kuishinda CCM hii ya Magufuli. Mnajifariji bure, Lissu hata kura alizowahi pata lowasa hatapata. CCM babalao. JPM tangu aanze kampeni ni mwendo wa nyomi mwanzo mwisho.
Genge la wahutu halitakubali kushindwa mpaka litakaposababisha bloodshed ndio likubali kuna kushindwa na kwamba nchi ni ya wote na litakapojua kuwa watz wanaweza kutetewa na binadamu wengine nje ya mipaka hiiMaono yako uchwara yameshashindwa kitambo sana kwa nguvu za MUNGU aliyeiweka nchi hii tangu mwanzo.
HAKUTOKUWA NA GENOCIDE.
Mwenyezi MUNGU ataruhusu jambo lililo jema tu ndiyo litokee kwa nchi hii iwe ni Magufuli, Lissu, Lipumba, Membe n.K au yeyote yule.
Tuliwaona kwenye mkutano wa bomba la mafuta na m7,wanatambuana hili genge ni hatari sijui akina Jk ilikuaje wakashindwa kukabidhi nchi kwenye mikono salamaGenge la wahutu halitakubali kushindwa mpaka litakaposababisha bloodshed ndio likubali kuna kushindwa na kwamba nchi ni ya wote na litakapojua kuwa watz wanaweza kutetewa na binadamu wengine nje ya mipaka hii
Remi must save marua land he is our saviorMji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo
Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama cha aina yoyote ile kutokea tangu miongo kadhaa iliyopita.
Kwa nini mnaweka picha za kutengeneza? Mtakiletea aibu chama chetu huko mbeleni. Maana mitaani huku hatuoni hata pilika za wagombea wa chama chetu.