Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Sema majeshi na polis na wakurugenzi kwani hao ndio wanaokula keki ya taifa hili lkn hakuna mtanzania hata mmoja mwenye akili timamu atakae wachagua nyinyi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Sio polisi wote ni polisi wale wakubwa wakubwa. Hawa wa level ya chini na middle class wanaambulia patupu ni ma amri tu
 
Nna uhakika nilishaona coment yako inayo sema Lisu hafikishi hata 5%! Naona unaongeza tu taratibu kama mnada wa kanisa! Naomba ukifika 60%, usitishe ubashiri, zitatosha kuunda serikali!
Kila siku wanaongeza. LISSU sio moto wa kuotea karibu
 
Comrade hakuna kipindi chadema mlikua na nguvu kama mwaka 2015 kipindi kile tulipata kazi sana kumnadi Magufuli nakumbuka vizuri sana jinsi mafuriko ya lowassa yalivyotusumbua.

Lissu hana nguvu kumzidi lowassa, kampeni imekua rahisi sana na tutampiga mapema sana. Hana nafasi katika nchi hii.
Hata Albashir wa Sudan alikuwa na kauli kama hizo.At the end yuko nyuma ya nondo. What goes around comes around my friend. Even if after so many years.
 
Back
Top Bottom