Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Hahahaa Hivi Siasa Unaijua wewe Wenzenu CCM wanawapiga Kura nyie mnamashabiki Lowassa aliondoka na Asilimia zake 30 kazirudishwa CCM so mwaka huu mkipata 20% mshukuru sana asee Maana CCM itawapiga kichapo cha mbwa koko
Acha story katika mambo serious. Hao wapiga kura wa CCM unaowaongelea ni hao wanazururishwa kwenye maroli? Unajiona wewe ndiyo bonge la mgunduzi kwamba hao siyo wapiga kura?
 
Lissu anapoteza muda tu hawezi kumshinda Rais Magufuli tena akipata kura laki tano tu akachinje ng'ombe.
 
Only NEC ndio wanaweza kuwaokoa ccm hapo 28 octoba. Njia nii nyeupe kwa Lissu na Chadema.

Ni Yeye2020
Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu tutamchagua Magufuli uyo Lissu wenu atasoma namba vizuri.
 
Wengi washangaaji tu, akienda magufuli waatashangaa vilevile
Ata akija ninapokaa nitaenda vilevile japo siikubali CDM,
Kujaza haimaanishi ni watamchagua, ata hivyo mbona sio nyomi nyingi kiivyo
Alivyoenda mwanza mbona kajaza uku ni sehem ambapo CCM ndo kule mwanzo mwisho

CDM haiwezi kuendeleza nchi maana ata wenyewe kujiendeleza hawawezi, hella ya Ruzuku kibao wanapata ila ata wabunge wake wenyewe hawajui inaenda wapi ata, sema wengi wanataka kuona mpinzan
 
Video : Wananchi wa Tunduma wakimsubiri Lissu
 

Attachments

  • TUNDUMA, siku zote mnayo heshima yetu wapiganaji. Heshima yenu Makamanda. Sau ( 352 X 640 ).mp4
    3.2 MB
Hongereni sana wana wa Tunduma kwa kukata minyororo ya utumwa
 
Maono yako uchwara yameshashindwa kitambo sana kwa nguvu za MUNGU aliyeiweka nchi hii tangu mwanzo.

HAKUTOKUWA NA GENOCIDE.

Mwenyezi MUNGU ataruhusu jambo lililo jema tu ndiyo litokee kwa nchi hii iwe ni Magufuli, Lissu, Lipumba, Membe n.K au yeyote yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…