Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Safari za Baba riz aka Vasco Da Gama ni aibu kuita state visit. Ni kama muhuni fulani mwenye pesa zake kaingia mjini. Nyingi hajapokelewa na Marais wenzake! Anaishia zake hotelini! Ikulu za wenzie anazikia kwenye bomba!
Umenigusa sana NN
Nyani Ngabu,
..video hii imenifikirisha kidogo.
..Mwalimu alipewa heshima hiyo licha ya Tanzania na Uingereza kutofautiana ktk siasa zao za mambo ya nje.
..kuna kipindi uhusiano wa kibalozi wa Tanzania na Uingereza ulivunjika.
NB:
..nimewaona wazee kama Ibrahim Kaduma, Cleopa Msuya, Joseph Butiku, ambao walikuwepo kwenye msafara wa Mwalimu.
..nimesikitika kwamba Baba wa Taifa hakuambatana na Mama Maria ktk safari hiyo.
Kwa kweli yalikuwa ni mapokezi yenye hadhi stahilifu.
Mwaka gani hii ilikuwa?
haya ya Jimmy Carter pia yalikuwa makubwa