Nyani Ngabu,
..ninavyoelewa mimi ni kwamba Mwalimu alikuwa anapata msaada mkubwa wa kiuchumi toka magharibi kuliko nchi nyingi ktk afrika.
..lakini Mwalimu huyo huyo alikuwa ni mkosoaji mkubwa na mpinzani nambari moja wa sera za mambo ya nje za nchi za magharibu na zaidi alikuwa mjamaa.
..sasa hawa viongozi wa leo wanafikiri kwamba ili tupate misaada au tupate wawekezaji toka magharibi ni lazima, lazima, tujikombe-kombe kwao na kuwapa rasilimali zetu kwa mikataba inayotuumiza.
..hayo ndiyo ambayo mimi yamenifikirisha sana nilipoangalia video hii.
cc Kimweri, Nyenyere, ZeMarcopolo, Kapwela, Nguruvi3, Kiranga, MOTOCHINI

Last edited by a moderator: